Na ningekupaje maendeleo yangu@ mzizimkavu wakati tayari ulishindwa kutoa ushirikiano kwa kuwa mkali ?, jaribu kuvaa viatu vya wenzako MTU ninaumwa nimejichanga kwa shida kukupa pesa ya matibabu( ambayo kwako unasema Ni pesa ndogo, sijui unafahamu niliipataje?) halaf nakueleza Hali yangu unakuwa...
Ushindwe na ulegee kabisa na sitokufa nitaishi na huna uwezo wa kuniua kwa ulozi wako huo na Kama huna makandokando kwanni umekuja private kunitukana mimi na mama yangu .kwa taarifa yako hakuna wa kunituma Mimi nikuchafue wewe ili nipate faida gani sikujui hunijui? Na ukumbuke nilikaa kimya wewe...
Kwa majibu haya kwa MTU ambaye nimekujibu vzr na kukaa kimya kukuheshimu na nikikumbuka tone yako ya kibabe ya kumfokea MTU usiyemjua aliekupa 470,000 plus za kutolea naanza kuamini wewe SIO DAKTARI NA UPO KUTAPELI WATU ILA ENDELEA TUU NA UNAFIKI WAKO HUO KWA KUJIFANYA UNAMTAJA MUNGU NA KWA...
Ilikua mwaka 2018 tulianza mawasiliano hapa Kisha ukanipa namba ya kutuma pesa ilikua 470,000 Tena pamoja na ya kutolea Kisha nilitumiwa hizo dawa Ila hazikunipa nafuu nakumbuka nikakujulisha ukanijia juu kuwa Sina subira nataka nione matokeo mapema then sikukutafuta Tena na hata nilivomaliza...
Habari za usiku wapendwa,
Nimekuwa na tatizo la maumivu ya mgongo (upper back pain) kwa zaidi ya miaka mitano Sasa chanzo ikiwa Ni ajali ,hivi karibun nimepima x-ray na MRI na imeonekana mgongo wangu umenyooka (ingawa ni kwa kiwango kidogo) badala ya kuwa na curve.
Nimetumia dawa na kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.