Hvi sitapona tena jamani? Daaahh

Aisee haya matatzo ya back pain ni ishu sana. Unaweza kumeza kila dawa lakn usipone, lakn njia nzuri ni kufanya mazoezi kadhaa ya kunyoosha mgongo, ukifanya consistently mwezi mmoja yanaisha .mm pia yalinisumbua sana. Ingia web ya Dr mercola kisha, ndani mule usearch back pain exercise then anza kupractice
Asante ndugu yangu
 
Back
Top Bottom