Recent content by richardmtavi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

    Kabichi mapishi tu, kuna jinsi inakua na viungo masala sijui nn.... Nyama yenyewe inasubiri. Kuna jinsi wanapika wahindi, ile kabichi ni hataree...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Gari kutetemeka ukiwa speed 70-80

    [emoji120][emoji120] sawa mdau
  3. R

    JamiiForums Tanzania Gari kutetemeka ukiwa speed 70-80

    Habari wadau nina gari ya suzuki jimny, ni manual transmission, Kawaida ukiwa unaendesha na ukifika kati ya speed 70-80 huwa inatetemeka. Ila ukipita 80 na zaidi inatulia na kuwa kawaida, kwa wataalamu mnaweza kujua tatizo ni nini? Au kama mtu yoyote ameshawahi kukumbana na tatizo hili, msaada...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Aliyeuliza hobbies za Rais ni mhariri wa gazeti gani?

    Hahahahah [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kuanzia kesho hadi kiama sitonunua tena haya Magazeti yafuatayo

    Politics is the game To win it inabidi ucheze kadiri ya namba uliyopo. Maswali mengi yalikuwa kisiasa na majibu yakawa hivo hivo.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kumuacha

    hapo ni kumuita na kumuambia ukweli, ni jinsi gan hayupo moyoni mwako. ili ajue tu, kuliko kuzid kuchelewesha muda. na pia kuchezea feelings zake.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kumuacha

    ni mkubwa kwako kwa umri gan? yaani kakuacha miaka mingap?
Back
Top Bottom