Nataka kumuacha

Nataka kumuacha

Njia rahisi ya kumuacha wewe tafuta kasichana ka uswahilini afu kambie kuwa kuna lijimama linahatalisha mahusiano yenu..
 
Nimkbwa kwangu, baas2 nilikua namatatizo ya ela

Duu! Ujui2 mkuu kwa alivoneemesha maisha yangu kumwambia ilo neno naona laana

Matatizo2 ya ela ndugu yangu, alinikuta na hal mbaya sn ya famuilia na ckua na option

Natamani kuhama hii sayari ya dunia........pale mwanaume anapokuwa anaandika hivi......why why why why........

Preta........Safarini Pluto...........
 
Natamani kuhama hii sayari ya dunia........pale mwanaume anapokuwa anaandika hivi......why why why why........

Preta........Safarini Pluto...........

Vumilia2 dada unipe njia ata moja
 
Natamani kuhama hii sayari ya dunia........pale mwanaume anapokuwa anaandika hivi......why why why why........

Preta........Safarini Pluto...........

Nisubiri twende wote.
 
Wakuu ni njia gan ya kumuacha mschana pasipo yy kujua? Maana nmejarbu kumpotezea taratibu akashtukia,kaniuliza maswali kibao nmejbu yaliowezekana, wakuu npeni mbinu mnawezaje?

Liambie kwamba unataka ulile 0713.Litakereka san kwakuona umeanza tabia mbaya.Bas litaamuwa likutose lenyewe na litakuwa limekurahisia kazi
 
hapo ni kumuita na kumuambia ukweli, ni jinsi gan hayupo moyoni mwako. ili ajue tu, kuliko kuzid kuchelewesha muda. na pia kuchezea feelings zake.
 
Liambie kwamba unataka ulile 0713.Litakereka san kwakuona umeanza tabia mbaya.Bas litaamuwa likutose lenyewe na litakuwa limekurahisia kazi

Nmeipenda hii swaaaaf poapoa, ila likikubal kutoa duu, plan fail
 
hapo ni kumuita na kumuambia ukweli, ni jinsi gan hayupo moyoni mwako. ili ajue tu, kuliko kuzid kuchelewesha muda. na pia kuchezea feelings zake.

Maneno yakistaarab sn asante mkuu
 
Natamani kuhama hii sayari ya dunia........pale mwanaume anapokuwa anaandika hivi......why why why why........

Preta........Safarini Pluto...........

Mkome kula ujana wenu huko alafu mnakuja kujiuguza na kutaka tugawane uzee wenu...! ata mimi lipo jimama moja linanipita age limekula ujana wake huko hadi likapata mtoto sasa linaniganda bora ya ruba...! Kuna wakati nalionea huruma but sometimes linanizingua nimepanga kupiga chini form five ananikonyeza...!
 
Natamani kuhama hii sayari ya dunia........pale mwanaume anapokuwa anaandika hivi......why why why why........

Preta........Safarini Pluto...........

Karibu Neptune...... Huku wanaume wote ni wa shoka mbayaa!
ila bibie tuache utani mi hiyo avatar yakoo tu unanimalizajee...!
 
Back
Top Bottom