Recent content by Richard mbwaga

  1. Richard mbwaga

    Nashangaa hadi sasa Serikali iko kimya kuhusu ajira za Walimu wa Sayansi

    Ni aibu sana waziri wa serikali tena ya jamuhuri ya muungano mbaya zaid wa TANZANIA anasimama hadharan na kudanganya umma mwaka mzima yeye anadanganyaga tuu tena ni mbunge na anawazazi na watoto daaa ningekuwa mm ningekosa aman hata kujifungia chumbani peke yangu.
  2. Richard mbwaga

    Waziri Kairuki: Serikali haitomvumilia mtu mwenye vyeti feki

    Kiujumla tushachoka hatutaman sana kusikia ajira, graduates tunatumika kiki kuendesha siku mbele za wanasiasa wasioenda na wakati na kutoa matamko mengi tofauti tofauti.
  3. Richard mbwaga

    Angela Kairuki: Watumishi hewa wafikia zaidi ya 14,000 na walitafuna 16 Bilioni kila mwezi

    kuto kumwamini mtu si dhambi wala kesi chamsingi tumwamini mungu pekee kwakuwa vijana wetu tangu waaminishwe mvua itanyesha ndo kwanza jua linazidi kuwa kali mwenye akili kasha nielewa.
  4. Richard mbwaga

    Serikali yetu, irekebishe uchumi kwanza bila kuongeza mishahara

    hii post inaonyesha kijana kakata tamaa kwaiyo no way out lazima aongee bila research.
  5. Richard mbwaga

    Dr. Mwakyembe: Rais hajavunja sheria wala Katiba

    Nawashukuru sana wachangiaji wengi wamekomaa kiakil nadhan tutoe dhana ya kuwa prof au dr. ni kujua kila kitu na ndo maana wasomi wa level kama ya mwakyembe wanapinga na wengine wanasupport ila tujijenge kwene ukweli katiba inasemaje.
  6. Richard mbwaga

    Kuhusu Maandamano ya tarehe 13.09.2016, kwa vijana wote wasiokuwa na Ajira

    Mimi bnafsi tusha andamana bila kibali kwa kweli tulipigwa, lakin pia kuna wakati tuliandamana kwa kibali cha police na tukapewa escote na police sijui lakin utaratibu wa siku hizi.
  7. Richard mbwaga

    Kuhusu Maandamano ya tarehe 13.09.2016, kwa vijana wote wasiokuwa na Ajira

    Maandamano ni haki ya msingi kama yatafata taratibu ina julikana kikatiba wala isiwe shida kwa vijana, nawatakieni kila lakheri.
  8. Richard mbwaga

    Kumekucha tena: Mgogoro Tanzania na Malawi waibuka upya

    Itakuwa wamejipanga kwa hii episode tusubiri busara zao ziwaongoze
  9. Richard mbwaga

    Kumekucha tena: Mgogoro Tanzania na Malawi waibuka upya

    kwaiyo wazee wa ngwasuma tz wanacheza kama pele?
  10. Richard mbwaga

    Matumaini mapya kwa wanaosubiri ajira za walimu.

    ngoja tuvute pumzi mpaka trh za mwisho za mwezi huu nadhan ikizid ntalazimika kufikiri hasi kuwa hazipo kabisa.
  11. Richard mbwaga

    Kumekucha tena: Mgogoro Tanzania na Malawi waibuka upya

    We should be carefully guys kwa kuwa hizi issue za migogoro ya nchi za weusi mara nyingi hutengenezwa na jamaa wekundu japo sijasema kuwa ndo iko hivyo ni uzoefu tuu ndo unatumika.
  12. Richard mbwaga

    Matumaini mapya kwa wanaosubiri ajira za walimu.

    Kiujumla tumechokaaaaaaaaaaaaaa jaman tusikieni bhasi laaa!!!!!!!
  13. Richard mbwaga

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    nenda kwene secretarieti ya ajira PSRS
  14. Richard mbwaga

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    sidhan sana kama ni ishara sahihi
  15. Richard mbwaga

    Elimu ya sayansi ya viumbe hai (ENTOMOLOGY)

    Hahahahaaaaa wadudu sio viumbe hai?
Back
Top Bottom