NI BORA NICHEZE KIDALIMPOO SAA 4 USIKU NA MKE WANGU KULIKO KUANGALIA EDITING YA BUNGE TBC SASA NAANZA KUAMINI KUWA NCHI IMEWASHINDA ASUBUHI NA MAPEMA
Watz bado sana, wapo radhi wavutane kiitikadi kuliko masilahi ya nchi, Wananchi wana HAKI ya kupata habari kutoka katka media ya Umma, na...
Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod
Ndugu wanajamvi mm ni mwalimu ajira mpya nimeripoti tarehe 3/5/2015 hapa kituoni na tangu kipindi hicho mpaka sasa sijapokea mshahara nifanyeje?
Naombeni ushauri!
Ndugu wanajamvi naomba kuuliza katka ajira mpya hii hata sisi tuliopata supp tumo kwenye list ya majina mapya je tufanyeje tukaripot na sisi na je hatutakutana na vikwazo hko halmshaur?
Msaada jamani wa kimawazo!
ndg wanajamvi kwa taarifa nilizozpata muda huu ni kwamba kuanzia muda uwe unatembelea website mara kwa mara coz mzigo utatemwa kuanzia leo usiku.source ofisi ya tamisemi dodoma
enyi wana jamv kuna kajambo fulan kananitatiza mwenzenu mpaka nakosa raha yaan hapa maskan kuna mdogo wang kasoma psychology na somo moja la kifundishia la kiswahili pale TEKU na je kwenye ajira za mwaka huu anaweza akaajiriwa?mnisaidie kwa mawazo wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.