Recent content by Richard Chomile

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Sio kila kitu huandikwa, adai atatumia mamlaka yake kadri anavyodhalilishwa

    [emoji2] [emoji3] [emoji3]
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Sio kila kitu huandikwa, adai atatumia mamlaka yake kadri anavyodhalilishwa

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji10] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa gharama za uhamisho

    Inategemea pia umbali, chini ya au zaidi 5km?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufahamu

    Ndiyo, unaweza kumdai akulipe gharama za kesi. Ila nawe angalia muda
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwa msaada zaid Soma hapa

    Mbona umeniondoa tena? Naomba uni add 0768200871
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mba

    Tumia sulphur
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nini itakuwa hatma ya Scorpion?

    Kesi ni ushahidi wa kutosha hasa hili la scorpion ukizingatia ni Jinai, ushahidi wake hautakiwi kuacha shaka hata kidogo duu! Lolote linaweza kutokea
  8. R

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KESI

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1128679/ MSAADA WA KESI
  9. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kuhusu sheria ya kazi

    Ana haki hata kama mkataba wake wa awali ungeisha na boss wake akaamua kutofunga naye mkataba mwingine. Kisheria mwajili alifanya uhuni kama walivyosema wadau hapo juu na hivyo mkataba wake ni void
  10. R

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KESI

    Naomba wabobezi wa masuala ya sheria munisaidie mifano ya 'Tort of continuing offence cases' Nitafshukuru sana kwa msaada wowote wa kuniwezesha kupata mifano ya kesi hizo.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria ya Code of Good Practice

    Nimetupia code kwenye email yako
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote mwenye shida ya sheria za kazi

    Unfair termination ina ingredient mbili Je sababu ya kukuachisha kazi ni reasonable? Je wakati wanakuachisha kazi walifuata procedure? Kwa hoja uliyoleta sababu ya ku terminate ajira yake mwajiri ana sababu ya msingi kufanya hivyo kwani wizi ni mojawapo ya serious misconduct inayokubalika...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote mwenye shida ya sheria za kazi

    Mwajiri wao anapaswa kuitisha kikao cha kamati ya nidhamu kilichowatoa kazini kufanya marejeo ya adhabu waliyoitoa dhidi yao kufuatia hukumu iliyotoka na kuwarudisha kazini na kuwalipa haki zao. Asipofanya hivyo basi wana haki ya kwenda mahakamani
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria ya Code of Good Practice

    Nitumie e mail yako
Back
Top Bottom