Recent content by Rich The one

  1. R

    Jambo hili linaweza kuleta shida kwenye ajira?

    Nenda mahakamani kachukue kiapo kubali kuwa majina yote n yako. Ukisema uanze kubadili na mda hauna itakuchukua muda.. nakala ya kiapo nenda nayo ya uthibitish kuwa majina yote n ya kwako
  2. R

    Hawa vijana wa skauti wanaruhusiwa kusimamisha magari na piki piki?

    Ina Inategemeana ndy wanawez kukusimamisha kwa sabb maalumu hata mtu tu wa kawaida pia anawez pale inapohitajika yaan emergenc vinginevyo hapan ndy maana wakawekwa watu maalumu kufany hyo kaz kwa mujibu wa sheria la sivyo kila mtu angekuw ana mandatory ya kusimamish watu barabaran
  3. R

    TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Mbn kachukua hatua yaan hadi mkuu wa nchi kuongea hadharan kuagiza vyombo vya ulinzi vilete ripot ya uchunguz wa hivi vtu unaona c hatuq? Ile ni order hapa inatekelezwa , tatzo ilikuw mwanz wa matukio kama hya mhe. Alikuw hajaongelea haya mambo ila haina maana kuw alikuw kmy au alikuw amefumba...
  4. R

    TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Lawama mh.raisi hawezi kuzikwepa kwasabab ndy kichwa na sura ya nchi lakin haina uhalali kuwa naye ni muhusika wa vitendo tajwa. Ukubwa jalala kila jambo baya lazma atupiwe yeye mkuu wa nchi. Lakin kwny uhalisia hvi vtu vina mambo na siri nyng ndani yake, badala ya kuoneshan vidole its time kama...
  5. R

    Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

    Hyo n sehem ya biashara hata makampun makubwa pia kuna nyakati hisa zao znashuka hadi kutishia kufirisika lakn wana tafuta alternative wana nasua company na ku survive again, he will rise again and may be he will shine more than before #hustling brother
  6. R

    Sasa anatukanwa Mbowe na yule Msigwa Chadema wote Wameumia Unadhani inakuwaje anapotukanwa Amiri Jeshi mkuu? Muwage na akili!

    Matusi si saw n kweli lakin mawazo yako hayana akili.. jiulize samia n raisi wa watz wote au ccm? Na mbowe n kiongz wa watz wote au cdm? Samia akiwa kwny ccm n jukum la ccm lakin akiwa kwny kiti cha uraisi n raisi wa watz wote wa vyama vyote na n haki zao kumkosoa kama hawapendezw na mwenendo...
  7. R

    Biashara ya dhahabu

    Chunya n wilay ya madini hvyo machimbo n meng na ppm znatofautiana sasa cjui unatak mm nijue ppm za kila mahali hapo sio saw. Pia kaka huhitaj kudhamin fungua tu karasha wateja wapo
  8. R

    Biashara ya dhahabu

    Nenda chunya -mbeya.. fungua katasha subir watu walete mawe kusaga au kama ya uhakika unaweza dhamini gharama za chakula na vilipuzi kwa wachimbaji then wakitoa mzgo unakuja kusagwa karashan kwako, fasta tu unakuza mlima
  9. R

    Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

    Kama ni mtu amby unajali fairness huwez laumu usahili, awali kulikuw na mazingr makubwa ya rushwa maana wao tu walikuw wanapitish tu majina ya waliopat ajira lkn kuwek usahili means mweny uwezo anapita sasa ww unatakaje
  10. R

    Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

    Hadi interview watu mnailaumu ccm? Kama mtu uko competent why uogope usahili? Kwan una degree ya wasiwasi😂😂
  11. R

    Natafuta kazi ya kufundisha au kazi yoyote. Nina Bachelor Degree of Science in Education

    Not fresh from school, i can say now am jobless legend, as man nishawek vyet chini several times na kujimix kwenye kaz ambazo most of educated people cant even dare to do, and still hustling najimix tu na degree yang mfukon since 2020
  12. R

    Natafuta kazi ya kufundisha au kazi yoyote. Nina Bachelor Degree of Science in Education

    Natafuta kazi ya kufundisha au kazi nyngn yoyote ili tu kujikizi mahitaji ya kimaisha. Nna degree of science in education natanguliz shukrani.
Back
Top Bottom