Recent content by Rich Pol

  1. Rich Pol

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutajenga uwanja mkubwa wa michezo Msoga kumuenzi Kikwete

    Uwanja wa nini? Apanue barabara iwe njia nne kutoka kibaha mpaka morogoro, siku hizi ukiwa na gari ndogo unatumia masaa matano kufika moro
  2. Rich Pol

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia anataka kuweka historia ya kuwa rais aliyeshinda kwa asilimia kubwa (95% +) zaidi kuliko awamu zote zilizopita

    Najiuliza Mpina ana impact gani kubwa mpaka apigwe ban? 😁😁
  3. Rich Pol

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Shule ya Sekondari Makumbusho (Dar) afukuzwa kwa kosa la kutoa adhabu kali kwa Mwanafunzi

    Pamoja na kufukuzwa kazi, ningekuwa mimi ni mzazi wa huyo mtoto ningempandisha kizimbani na ushahidi upo mtandaoni
  4. Rich Pol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

    Mkuu ki ufupi umeharibu sana #Umeharibu familia mpaka watoto watakua bila malezi ya wazazi wote wawili. #Umehalifu family iliyokuwa unaishi kwa furaha na amani #Umeharibu future ya jamaa Sasa jamaa itakuwa kama anaanza upya maana katika kuachana watagawana Mali. Umeharibu future ya mwanamke...
  5. Rich Pol

    JamiiForums Tanzania Video: Maeneo nyeti yaliyopigwa Iran, ambayo yamewauma sana Iran. Mataifa yatoa wito Israel isiendelee

    Israel ni nchi ndogo sana, itapigika tu it's a matter of time, haendi shule mpaka apelekwe asijisifie
  6. Rich Pol

    JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio kubwa kwenye base ya Israel

    Kama ni game cheza mkuu
  7. Rich Pol

    JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio kubwa kwenye base ya Israel

    Mkuu kwahiyo akipigwa Iran ni habari za kweli ila ikipigwa Israel ni habari za uongo?
  8. Rich Pol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: SIN

    Hatari kabisa
  9. Rich Pol

    JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio kubwa kwenye base ya Israel

    Nenda kaabudu ukristo wako Israel kama hujafungwa maisha au upigwe bomu ufe
  10. Rich Pol

    JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio kubwa kwenye base ya Israel

    Iran imefanya shambulio kubwa katika base ya Israel na kuharibu magari ya kivita zaidi
  11. Rich Pol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ningekuwa Mimi ndiyo INSIDER MAN ningewaoa wote wawili Kila mmoja awe na haki sawa
  12. Rich Pol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Vipi IST imekufa engine?
  13. Rich Pol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GSM waambieni watu wenu ukweli kuhusu Kisinda, Djuma Shabani. Simba mmedanganya bei ya Banda

    Umeandika kama unakimbizwa
Back
Top Bottom