Recent content by Rich K

  1. Rich K

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUHUSU ST AUGUSTINE CAMPUS YA MBEYA

    Sijui usaidizi upi hapo maana inshu ya mkopo sina uhakika kama wao chuo watafanya upewe au ukose but kama umeomba huwa hawacheleweshi, karibu
  2. Rich K

    JamiiForums Tanzania mwenye uelewa kuhusu CAS

    Anatumia qualification gani? Kama diploma system iko open but kwa form six tayari had result ziko nje, system iko off kitambo sana
  3. Rich K

    JamiiForums Tanzania Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

    Hivi unadhani maisha mazuri ni pesa pekee, fikiria hao wazaz unaosema watafaidi kisa kutooa wangeamua hayo ungezaliwa pamoja na hao wadogo zako!!!!!!?????? La hasha.
  4. Rich K

    JamiiForums Tanzania Hivi huu mchezo unahitaji hasira

    Kuscan ni mhimu kabla ya kutuma data
  5. Rich K

    JamiiForums Tanzania Hebu tumkwamue huyu dogo

    Mwambie asome private candidate maana hana sifa ya kufanya mtihani wa advance as public candidate
  6. Rich K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Vigeugeu, Wasaka tonge, Opportunists, double standard

    Sitatenda haki nisipo kuunga mkono nataka niudabanishe usajiri huu kama wa kupaniki tunaenda kuua upinzani kwa kuruhusu watu ambao juzi tu tulipigana na kuwasema wachafu leo tunaanza kununua sabuni kuwaosha tumesahau lilipikiwa haliishi shombo daaa nimeumia sana kama kijana na ninauona usariti...
  7. Rich K

    JamiiForums Tanzania Tunanua gari za ajali na kuuza spea za magari

    Nahis hata spare hamtazipata maana gari hili lilipata ajali 2007 fundi toka uingereza alisema haliwezi kutenezwa tena labda kununua jipya kwa dalili ilivyo nkikuuzia litakuua tahadhali kabla ya shari
Back
Top Bottom