Recent content by ricardo roche

  1. R

    Picha za Kigali,Rwanda.Watanzania tuna cha kujifunza sana kuhusu usafi wa mazingira

    Hiki ni kiini macho tu kwani nikiangalia picha zote naona mpigaji ali select vitongoji vichache sana almost ni viwili au vitatu tu hivyo ni ngumu ku generalize kwamba Kigali yote ni safi au nzuri kama swala la vitongoji visafi au vizuri hata DSM vipo vingi sana na tukiamua kupiga picha basi...
  2. R

    Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

    Kipi kinachokufanya kuikashifu dini hii? Kwa sababu ya Alshabaab, Al-qaeda au wanaharakati wengine? Wote hatupendi mauaji ya watu wasio na hatia duniani na M/Mungu amekataza kabisa kuuwa nafsi isiyo na hatia. Lakini kwanini unakimbilia kuuhusisha uislamu na hizo harakati za makundi mbalimbali...
  3. R

    Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

    Huna hoja umejaa chuki, fitina, majungu na uzushi tu na upo mbali kabisa na mada. Tuwape pole wakenya usilete hisia zako za uongo. Aibu yako
  4. R

    Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

    Katu Mmarekani hawezi kupambana na uislamu bali anapambana na waislamu. Uislamu ni mfumo aliouweka Mwenyezi Mungu na hauwezi kufutika mpaka mwisho wa dunia hata wakiwaua waislamu wote duniani wajue mfumo utabakia tu na mwisho wa siku M/Mungu atahukumu kwa kuufuata mfumo huu.
  5. R

    Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

    Tv coverage ipi munayoitaka nyinyi masaa yote tv zetu ziwe zinaonyesha tukio la kenya tu? Mi nimeona mara kwa mara ITV imekuwa ikijiunga na BBC kuonyesha kinachoendelea Kenya
  6. R

    JK awajibu wapinzani kuhusu Muswada wa katiba mpya; Adai ni waongo na wapotoshaji

    Mguu ulishaota tende kwa wapinzani wanaodharau mwiba mkali JK. Mwaka huu wapinzani hawana kitu Watanzania tumeshawadharau wafanyafujo, wanafiki, makahaba wa siasa, wahuni na wachochezi hawa wanaojiita wanasiasa makini.
  7. R

    10,000 foreign teachers facing deportation from Tanzania

    Ofisi yako ipo Kigali je ya Watanzania yanakuhusu nini. Tunasafisha nchi yetu ili tubaki wenyewe tu tumechoka wageni. Hatutaki tena kupendwa tunataka kuchukiwa tu ili musije kwetu
  8. R

    UN yakosoa TZ kwa kuwafukuza wahamiaji haramu

    Teheteheeteheetehe ......!!! Hii imenichekesha na kunifurahisha sana
  9. R

    Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

    Mi huwa nashangaa sana kila siku hapa jf nawaona wale washabiki, wapenzi na wanachama wa Chadema wamejaa chuki, jazba, matusi, maneno ya kukera, uongo na uzushi na kukosa uzalendo. Hivi hii ndiyo hali halisi ilivyo ndani ya chama chao au ni kukata tamaa?
  10. R

    Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

    Mi huwa nashangaa sana kila siku hapa jf nawaona
  11. R

    Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

    Upo sahihi mkuu umenena kweli. Hiyo ni njama ya waziwazi ya kukwepa kodi. Hivi wewe kwani unawaamini hawa viongozi wa chadema wanachokisema hadharani ndicho hali halisi
  12. R

    Presidents Kagame and Kikwete hold talks on the sidelines of the ICGLR Summit - Kampala

    Akili yako ipo chini ya mgongo wako kwa nyuma badala ya kichwani. Umezaliwa vichochoroni umejifunza matusi mpaka unazeeka nayo. Jifunze ustaarabu wa watanzania
  13. R

    Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

    Duh. Kweli hasira huleta hasara. Kagame akajifunze busara kufikiria kwa kina na kufanya maamuzi mazuri
  14. R

    Serikali, Hakuna suala la kumwangukia PAUL KAGAME, acheni upotoshaji

    Nakubaliana na hoja yako kwa zaidi ya asilimia mia moja. Tuache tabia ya kundekeza udhaifu udhaifu tu eti kisa sisi ni wapenda amani. Hapana. Huu kuomba usuluhishi itakuwa ni muendelezo wa huo ujinga wanaotuita. Tanzania ni taifa ambalo tulipaswa tujitutumue juu ya wajinga wajinga wote ktk...
Back
Top Bottom