Recent content by rhylove

  1. R

    Upi ukwel ?

    khaaa wewe umekula na damu yake,yakheeeee hunifai kua mkwe,inamana ikija ikaumwa tena hamu ikakujia utaomba siko,watu wa namna yenu hamukawi kupanda kitanda na viatu.
  2. R

    Gari tatu aina ya Toyota kwa 17.5m tu.

    Gari hizi ni aina ya Toyota,mbili ni Toyota corona na moja ni Toyota corola E100,Zote ni rangi nyeupe,sports ream,hatu uzi gari moja moja,unashauriwa kuja na fundi wako wakati wa kununua,they are available all the time. Wasiliana na 0719009968. 0687132625
  3. R

    Naombeni ushauri

    yakheeeeeeee sivibaya ila ikiwa unataka ndoa ya haraka hapana shaka nambie lini wataka tuoane?
  4. R

    Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

    yakheeeeeee kwa upande mwengine huna kosa kwani hukufanya kusudi,ila itanilazimu nije nijionee mwenyewe ili nipate kuwahakikishia wana jukwaa ukweli wa kauli yako,tunakuamini sana ila italazimu nije kuondosha utata.
  5. R

    dizaini mbalimbali

    <br /> <br />chatu mabooooooooo?
  6. R

    Kafumaniwa

    jamani kuna aliye kwisha wahi kufumaniwa?
  7. R

    Kafumaniwa

    nothing sweet like K na M,jamaaa hata angeua sawa tu,utakumbatiaje buyu la asali ya mwenzako?
  8. R

    Kafumaniwa

    lakini tukiangalia upande mwengine mke anauma,aaaaaaaaa namie ningemchukulia tu.
  9. R

    Kafumaniwa

    uamuzi walio chukua haukua sahihi,na hawakupaswa wachukue sheria mikononi mwao,laitani ningekua mimi ndie ninae ibiwa baada ya kwisha pata uhakika na nakhisi nafsi imesha udhika bila ya kipingamizi ningali anda talaka tu.
  10. R

    How will you react?

    wel kwa ufahamu wangu,ukiachilia mbalini na kushamiri kwa mikanda ya ngono,kuna badhi ya makabila mwari anapo karibia kuolewa hufundwa,nikiwa na maana anafundishwa mitindo hadi sarakasi,sasa hili si jambo la kushangaza hata kidogo.yakheeee karibu pwani.
  11. R

    Mtoto wa Kike.

    mwanajamii nakunga mkono,well vipi umesha olewa.
  12. R

    Mtoto wa Kike.

    yakheeeee oa uzae,ukishamuacha huyo mke nipe mieeeee wala usipate tabu.
  13. R

    Msaada please

    kuna ambae alipata kuona bomu aina ya gurnet?
  14. R

    mwisho wa Ubaguzi wa KIhindi kuwa Hivi..

    muhindi si mtu mwema hata kidogo.
  15. R

    mwisho wa Ubaguzi wa KIhindi kuwa Hivi..

    wee mangi una lako jambo,tangu lini muhindi nna golo wakawa pete na kidole?
Back
Top Bottom