Tuukubali ukweli kwamba kila nabii na zama zake. Tuliona miaka ya elfu mbili mastaa kama Professor Jay, Ngwea, Fid Q, Kalapina, Juma Nature n.k, wakitawala Hip Hop huku Fid Q ndio akivaa taji.
Zama zikapita, zikaja zama za 2010, tukaona vipaji kama Roma, Stamina, Young D, Young Killer, Dogo...