KAtika historian ya siasa ya jiji la mwanza. Wanakumbukwa Wazee walioipigania nchi hii wakitokea Kanda ya ZIWA kama wakina Mzee john euro, bokhe munankha Na akina Paul bomani.Miaka 50 baada ya Uhuru Kanda ya ziwa inageuka kuwa ngome ngumu ya upinzani. Itakumbukwa kwamba watu Wa Kanda ya ZIWA kwa...
Zoezi Makamu wa Rais wa Baraza
la Maaskofu wa Kanisa
Katoliki Tanzania (TEC)
ambaye pia ni ASKOFU wa
Jimbo Katoliki la Rulenge
mkoani Kagera, Seveline
Niwemugizi amesema,
viongozi wa dini wana haki
ya kuwaelimisha waumini
wao waweze kujua
kinachoendelea wanapoona
kuna mambo hayaendi...
Aliyoyaandika nyerere kwenye kitabu chake cha UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA(1964)
Ole wake Tanzania
Tusipoisaidia!
Niwezalo nimefanya:
Kushauri na kuonya.
Nimeonya: Tahadhari!
Nimetoa ushauri:
Nimeshatoka kitini;
Zaidi nifanye nini.
Namlilia Jalia
Atumulikie njia;
Tanzania...
Itakumbukwa kwamba kumekuwa Na mtifuano mkubwa ndani ya chama cha mapinduzi juu ya nani atakayepeperusha bendera ya ccm kwenye uchaguzi mkuu 2015. Kwa taarifa zisizo rasmi mtoto Wa hayati mwl Nyerere muasisi Wa taifa bwana makongoro Nyerere ndiye anayepogiwa upatu zaidi kugombea katika nafasi...
AKizungumza kwenye kikao cha Kamati tendaji ya wilaya mwenyekiti wa Bavicha Nyamagana John pambalu comrade ametangaza kuanza ziara Kata ya Isamilo Pamba Na igoma. Ujumbe walioubeba ni kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Mpaka kieleweke
TAMKO LA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA KUHUSU MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI WA MWAKA 2014
Sisi Maaskofu, wajumbe wa jukwaa la Wakristo Tanzania, tuliokutana tarehe 20 Januari 2015, Dar es salaam, tumepata fursa ya kutafakari, kujadili na kujielimisha kwa kina yaliyomo katika...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwa Mbunge Wa jimbo la nkenge-kagera bi asumta mshana ni namna anavyoshuhudia akilikabidhi jimbo lake mikononi mwa kijana mahiri mwenye siasa zenye mlengo Wa kimapinduzi ya kijamii Na kiuchumi kamanda MESHACK MICUS.
MESHACK ambaye ni afisa Wa Kanda ya ziwa...
Mwenyekiti Wa Bavicha nyamagana comrade Mwalimu John pambalu aonyesha uwezo mkubwa zaidi Wa kujenga hoja. Akihojiwa katika kipindi cha tuzungumze kinachorushwa Na kituo cha star TV amesema tofauti ya wasaka madaraka Wa Tanzania mwaka 2015 Na wanafulsa Wa madaraka wa Karne kadhaa zilizopita ni...
Akizungumza Na wanafunzi wanaosoma katika vyuo mbalimbali jijini mwanza katika kikao cha kuanzisha programu maalumu inayojulikana MOVEMENT FOR LIBERATION. Mwenyekiti Wa Bavicha nyamagana comrade Mwalimu john pambalu Na Mwanasheria wa Bavicha nuamagana KAMANDA Martine ERICK MUTTA. Waliaema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.