Usiyoyajua juu ya CHADEMA Mwanza: Ni Wenje, Alphonce Mawazo au Comrade mwl John Pambalu??

Jan 27, 2015
13
8
KAtika historian ya siasa ya jiji la mwanza. Wanakumbukwa Wazee walioipigania nchi hii wakitokea Kanda ya ZIWA kama wakina Mzee john euro, bokhe munankha Na akina Paul bomani.Miaka 50 baada ya Uhuru Kanda ya ziwa inageuka kuwa ngome ngumu ya upinzani. Itakumbukwa kwamba watu Wa Kanda ya ZIWA kwa Mara ya kwanza mwaka 2015 waliwachagua wabunge kutoka vyama vya upinzani, walimchagu Mr machemli katika jimbo la Ukerewe, Haines kiwia jimba la Ilemela Na Ezekiel Wenje kwa jimbo la nyamagana.

Pamoja Na mageuzi haya lakini bado mwanza iliendelea kuwa ngome ya CCM.mnamo mwaka 2013 mwanza ilishuhudia mabadiliko makubwa yaliyosukumwa Na mwanamapinduzi alphonce Mawazo baada ya kuutema u naibu meya Wa jiji la arusha kwa tiketi ya chama cha mapinduzi.

Pamoja Na kazi kubwa iliyofanywa Na alphonce Mawazo katika majukwaa ya kisiasa lakini bado Mawazo alifanya kazi kubwa ya kuwafundisha vijana mbinu za kimapinduzi. Mafunzo hayo yalizaa matunda kwani kati ya wanafunzi wake wakubwa bwana mdogo Mwalimu John Justine pambalu alionekana kufunzu kwa viwango vya juu sana

Pambalu ambaye kwa sasa ni mwenyekiti Wa Bavicha wilaya ya Nyamagana ukweli ndiye kijana anayeonekana kuwa Na uwezo Wa hatari sana katika mbinu za kimapinduzi katika jiji la mwanza.Licha ya kuwa Na umri mdogo Wa miaka 25 tu ila uwezo wake ndani Na nje ya chama umeisaidia sana CHADEMA kukubalika miongoni mwa vijana.

Kijana huyu matata anakadiriwa kuwa alihutubia mikutano 56 katika uchaguzi Wa setikali za mitaa Na katika opperation hiyo alikisaidia chama chake kushinda mitaa 49 kati ya mitaa 56 aliyoihutubia.Kijana Huu kwa kipindi kifupi sana amefanikiwa kuijenga Bavicha yenye nguvu zaidi katika nchi Hii.itakumbukwa Kuwa katika Kata Yake ya Butimba amekisaidia chama kushinda mitaa 11 dhidi ya 5 iliyochukuliwa Na Ccm yeye akiwa Katibu Mwenezi Wa Kata.

Katika Mtaa anaotoka kijana huyu Mtaa Wa Amani ndio Mtaa ambao ulitangazwa mapema kuliko mitaa yote ya Kanda ya ZIWA mnamo saa 12:17 jioni. Na mataa anaoulea kama Mjumbe Wa Kamati tendaji ya Kata Mtaa ambao aliongoza mafunzo ya mbinu za ushindi akishirikiana Na bwana ERICK MUTTA CHADEMA iliweza kuishinda CCM kwa zaidi ya kura 450.

Hakika uwezo Wa kijana huyu unawanyima usongizi wana Ccm Wa Mkoa Wa mwanza. Licha ya kijana huyu kutoka katika familia ya kawaida sana ila alilitema dau la milioni 45/- alilotengewa ili aasi mageuzi. Pamoja Na mikimiki anayopitia mpambanaji huyu mwenye umbo dogodogo hivi ila ukweli unabaki palepale anao uwezo Wa kimataifa.

Pamoja Na majukwaa ya kisiasa pia ni mwandishi wa vitabu ameandika kitabu chake kinachoitwa laana ya azimio la arusha Na kile kinachokwenda kwa jina la kupaa Na kutunguliwa kwa rasimu ya warioba.

Uwezo Wa kijana huyu aliyewahi kuhudumu kama mwenyekiti Wa vijana Wa umoja Wa mataifa huko mkoani kagera alikokuwa akisoma masomo Yake ya sekondari ya juu umewafanya wananchi wa kata ya Butimba kumchangia fomu ya kugombea udiwani Wa Kata ya Butimba.

Kama Chadema kinaweza kumteua kijana huyu kugombea kwenye nafasi hiyo basi kitafanikiwa kuamsha ari kubwa ya vijana wengi wanaomkubali kijana huyu ndani ya Kata 18: za wilaya ya Nyamagana.
 
Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
20,192
15,566

Mkuu uliona mbali sana KIJANA SASA NZAGAMBA YA NYAMAGANA
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
13,014
49,557
Alphonce Mawazo anatakiwa aendelee kukumbukwa na kila mpenda mabadiliko wa nchi, sitaisahau ile siku niliyoona picha zake akiwa ametapakaa damu kwa kushambuliwa na wanaojiita wasiojulikana, japo niliomba Mungu akaponee hospitali lakini Mungu alimpenda zaidi, Apumzike kwa amani.

Siku zote mbegu ya mabadiliko ikishapandwa hakuna wakuitoa ardhini, ni lazima itoe mti utakaochipua matawi mengi ya kutosha, huyu Pambalu ni mfano wa tawi la mti alilopanda Mawazo.

Naamini bado wapo wakina Pambalu wengine wengi wakutosha, na hawa hawatakauka nchi hii mpaka pale uhuru wa kweli utakapopatikana.

Haki, Amani, na Maendeleo kwa kila raia wa TANZANIA.
 
Ubarikiwe MKUU ..Amani ni tunda la HAKI
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom