Bavicha nyamagana kuanza ziara nzito jimbo lote

Bavicha nyamagana kuanza ziara nzito jimbo lote

Joined
Jan 27, 2015
Posts
13
Reaction score
8
AKizungumza kwenye kikao cha Kamati tendaji ya wilaya mwenyekiti wa Bavicha Nyamagana John pambalu comrade ametangaza kuanza ziara Kata ya Isamilo Pamba Na igoma. Ujumbe walioubeba ni kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom