Revolutionalist
Member
- Jan 27, 2015
- 13
- 8
Aliyoyaandika nyerere kwenye kitabu chake cha UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA(1964)
Ole wake Tanzania
Tusipoisaidia!
Niwezalo nimefanya:
Kushauri na kuonya.
Nimeonya: Tahadhari!
Nimetoa ushauri:
Nimeshatoka kitini;
Zaidi nifanye nini.
Namlilia Jalia
Atumulikie njia;
Tanzania ailinde,
Waovu wasiivunde.
Nasi tumsaidie
Yote tusimwachie!
Amina, tena Amina!
Amina tena na tena!
Ole wake Tanzania
Tusipoisaidia!
Niwezalo nimefanya:
Kushauri na kuonya.
Nimeonya: Tahadhari!
Nimetoa ushauri:
Nimeshatoka kitini;
Zaidi nifanye nini.
Namlilia Jalia
Atumulikie njia;
Tanzania ailinde,
Waovu wasiivunde.
Nasi tumsaidie
Yote tusimwachie!
Amina, tena Amina!
Amina tena na tena!