acheni hizo nchi hii ina uhuru wa kusema utakacho ilimradi usivunje sheria za nchi, sijao ni lipi magufuli kalifanya maana anayofanya ni wajibu wake sioni jipya hata moja
Salaam wandugu,
Napenda kusema kwamba kama mtu mzima(mh. makonda) anaamua kumfunga kamba za viatu MH. ridhiwan alafu unatuambia hili gazeti lina zalilisha watu nafikiri hauko timamu kwasababu mh. Makonda hakushikiwa bastola eti asipofungwa viatu na mkubwa wake atamfunga jela, ni uamuzi wake...
kama kuna mtu ana wazo la kwamba lowassa atafunguliwa kesi na mwakyembe eti ni kwasababu sasa amekuwa uwaziri wa sheria anapoteza kuda sana ni bora fanya mambo yako kuliko kupoteza muda na suala la richmond, kwasababu ishu nzima rais mtaafu kuhusu hiyo richmond hapo mtasababisha rais wenu jk...
Hngera serikali ya Mh. John pombe magufuli kwa hatua hizo za kuimarisha elimu ya awali maana huo ndio msingi imara Wa awali kuwa na Elimu imara hapo baadae kwa watoto wetu hongera sana rais
======================================
Chanzo: Mtanzania
Kiukweli hali ilivyosasa utadhani nchi ndio kwanza inapata uhuru, maana kila unapokuwa wananchi wana jadili kasi ya Rais na kusema hivi kama miaka yote hamsini iliyopita kasi ingekuwa kama ilivyo hii ya Mh. magufuli hili taifa hadi sasa tungekuwa tunaifukuza marekani kwa maendeleo hapo ki ukweli...
Huo waliokuwa wanausema sio ulaghai wewe unakuwa kama vile hujaenda shule, hata michezo yoyote hujacheza kabisa siku zote ukiwa katika mashindano hata katika siasa huwezi kusema kwa mpinzani wako eti jamani yule ni mzuri ukisema hivyo wewe kuna haja gani ya kuingia ktk kinyang'anyiro cha...
We utaishia kumbeza lowassa hupati faida yoyote, hakuna mtu muhimu kama lowassa, kwa taarifa yako, we fikiria hadi tume wamefanya kazi ya ziada kutangaza matokea ambayo magufuli hakushinda kwa dhati
Wewe unafikiri na kama unafikiri inamaana huna kitu kipya, huwezi kuanza kupiga ramli maana hiyo ni ramli, kwa taarifa yako, ingekuwa ni tofauti kbisa kwa jk na watu wake wengine jitosa baharini kama sio kujingonga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.