MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
zitto angekua na pesa angesafishwa ndani ya masaa 2 na dj
Upo sawasaw
zitto angekua na pesa angesafishwa ndani ya masaa 2 na dj
Hata na mm watanisafisha, cha kufanya ni kutangaza nia
Ipo siku CCM watamsafisha Lowasa
kweli kabisa. Na siku akitaka kurudi CHADEMA tu anatangaza dau.
zitto hawezi kwenda kushiriki harufu ya kinyesi.
Changudoa na pesa hajali magonjwa
Dr. SLAA siyo mchafu, alikimbia harufu ya KINYESI SITTING ROOM.
Tatamadiba, hvi huwa unaingiliwa na nani kinyume na maumbileee!
wewe NYANI la LUMUMBA.
Tumuulize DJKwani ni wachafu hao mpaka wasafishwe?
kwani bado mnalipwa ile buku teni hadi sasa kuandika propaganda feki
Hao wana chama chao kinaitwa ACT kajiunge nao kama bado. Hala kulu ana mpango wa kuingiza CCM ili amteue slaa awe mbunge ampe ulaji.Kwa Kweli nimekaa na nimetafakari sana kuwa siasa haina uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu hasa baina ya viongozi cha chama, lakini siasa hiyo hiyo inaweza kuleta uadui mkubwa miongoni mwa wananchi na chuki ikajengeka lakini si kwa viongozi.
Kwa mda mrefu tangu nianze kufatilia siasa na kujiunga na chadema nilijua kabisa adui mkubwa wa CHADEMA ni UFIDi na miongoni mwa mafisadi wakuu hapa nchini ni Lowassa, lakini ghafla bin vuu mtu tuliye tumia miaka nenda rudi kumuita fisadi lakini tulimgeuza nabii wa siasa within a one month hivyo naamini kuwa hata akina Zitto na Slaa one watasafishwa na CHADEMA hii.Adui yangu mkubwa hapa nchini ni CCM.
Wewe jipu lako unahitaji litumbuliwe hata kama halijaiva lisije likakutoa roho.Chadema hawawezi kumsafisha Dr.Slaa, ila Dr.Slaa ndio atawasafisha Chadema!
Chadema nao wanahitaji kutumbuliwa majipu!
Achane unafki sisi Tuna toa mada ili J.p.m atumbue majibu....acheni usihasa Taja Mafisadi maeneo ya uliko karibu...