JWTZ Ikabidhiwe TPA

JWTZ Ikabidhiwe TPA

Jmani ndiyo taaluma yao hiyo? Mbona tunakurupuka tu.Kwa hiyo jeshi wakikabidhiwa TPA au TRA umeambiwa huko kuna Rigwaride na kupiga mizinga.Tutoe mawazo yenye akili kdg siyo pumba

Mkuu wewe ndio unaongea pumba kama ujui jeshini hakuna taaluma isiyokuwepo kuna wasomi wana elimu na weledi wa kutosha na lengo la kuwatumia hawa jamaa ni kwamba kwenye kazi wanafanya kazi na wanajua kusimamia nidhamu ya kazi hakuna mda wa majungu wala siasa ni kazi tu. Au we unafikiri taaluma gani ambayo jeshini haipo?
 
Kama nikibahatika kuonana na rais ushauri wangu wa kwanza kwake JWTZ alitumie katika kila nyanja kama ni Muhimbili basi uongozi utoke JWTZ kadhalika kwa TPA,TRA,CCPB,MASHIRIKA YA UMMA,BOT,TCRA,TANROAD, NK. Yaani hapo kuna faida kubwa sana kuliko kuendelea kuwatumia raia.

Mkuu kote huko unataka wakae wanajeshi then nchi italindwa na nani?
Wanajeshi wenyewe most of them ni form four hawana wanachokijua zaidi ya kupiga kwata😊😊😊
 
Mkuu kote huko unataka wakae wanajeshi then nchi italindwa na nani?
Wanajeshi wenyewe most of them ni form four hawana wanachokijua zaidi ya kupiga kwata😊😊😊

Mkuu kama hujui nchi zilizoendelea Duniani zinawatumia sana wanajeshi na watu wa usalama kufanikisha mambo yao. Teknolojia nyingi imetoka jeshini na kuna elimu ambayo wewe huna na wanajua kusimamia kazi hii itasaidia kuondoa majungu na siasa katika mambo ya kitaalam.
 
Tunahitaji mifumo ya kisasa ya Monitoring tu ndio kilichokosekana ndio maana jamaa wanaiba
 
Naomba kumpa ushauri Rais Magufuli, kwa muda mrefu wafanyakazi wa Bandari wametuzingua sana, sasa ikibidi kabidhi Bandari kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania angalau kwa miaka 2-3 walete ufanisi na kukusanya kodi na ushuru inavyostahili.

Mkuu swala la kukusanya kodi bandarini sio mabavu au maguvu
ni kuweka smooth system tu na watu kuwa wazalendo.Period.
 
Naomba kumpa ushauri Rais Magufuli, kwa muda mrefu wafanyakazi wa Bandari wametuzingua sana, sasa ikibidi kabidhi Bandari kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania angalau kwa miaka 2-3 walete ufanisi na kukusanya kodi na ushuru inavyostahili.

Akili za kuambiwa changanya na zako....by MBAYUWAYU
 
Jeshini hakunaga ufisadi, hawanaga siasa ooh! Sijui nini mara ivi mara iv wao ni Offensive kwa kwenda mbele. Safi sana kama ingepewa JWTZ.

wewe ndio mbulula kabisa..Nani kakuambia JWTZ ni wasafi kiivyo...Umesahau maradi wa Matrekta pale Lugalo, mameja na makanali wangapi wamefikishwa mahakamani kwa wizi huo!
 
Wewe unayeongelea upuuzi wenu kuhusu jkt acha kabisa. Nidhamu ya jwtz sio ya kukebehi kirahisi unavofanya. Also speaking of personnel capabilities stop assuming. You don't know anything about the force
 
Naomba kumpa ushauri Rais Magufuli, kwa muda mrefu wafanyakazi wa Bandari wametuzingua sana, sasa ikibidi kabidhi Bandari kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania angalau kwa miaka 2-3 walete ufanisi na kukusanya kodi na ushuru inavyostahili.

hakuna sehemu yenye wizi kama JWTZ.....
 
Kama nikibahatika kuonana na rais ushauri wangu wa kwanza kwake JWTZ alitumie katika kila nyanja kama ni Muhimbili basi uongozi utoke JWTZ kadhalika kwa TPA,TRA,CCPB,MASHIRIKA YA UMMA,BOT,TCRA,TANROAD, NK. Yaani hapo kuna faida kubwa sana kuliko kuendelea kuwatumia raia.

Majeshi ya Tanzania hamna kitu hapo, Yule Jenerali kishimba ambaye alimwaga power tiller fake kutoka india akishirikiana na Jitu Tapeli wa kihindi ambaye naye alipiga dili ccm kwa kuwauzia magari mabove ya mahandra.
RADA yetu walisadifu nani? Sukari iliyomtoa Idd Simba? nako ni majanga.
 
Wanajeshi wengi hawana nidhamu na wala Sio mfano Wa kuigwa wengi walienda sababu ya kukosa ajira Sio kwamba wanapenda sana kuwatumikia wananchi, jkt tu watoto Wa kike wananyanyasika then utawakabizishaje nchi? W
 
Back
Top Bottom