Serikali inajaribu kukwepa aibu ya kufilisika kwa kuongeza vyanzo na gharama za huduma mbalimbali ambavyo haikua imezoeleka kabla
Naamini huu ni mwanzo tu bado tutaona mengi sana awamu hii
Marufuku kukata tamaa!!;
Endelea sana kutenda mambo yanayompendeza Mungu
Amini Mungu hamtupi mja Wake pia baraka Zake huja wakati muafaka hawai wala hachelewi naamin atakubariki sawasawa na mastahili yako.
Lengo la ndoa halikua watoto hivyo watoto ni matokeo tu ama ni zawadi kutoka kwa Mungu tunza sana moyo wako pigeni goti pamoja '' kwa Mungu yote yanawezekana''....... Nawasilisha.
*THE SIN OF PORNOGRAPHY:*
*****"************************
*************************
Porn was not made for entertainment or fun it
was made purposely to destroy both the actors
and their viewers. It feeds man with lust and makes him hungry for more.
That is what result in masturbation and all...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.