Recent content by Reuben 92

  1. Reuben 92

    Nifanyeje kuhusu huyu mwanaume

    Pole mrembo uko wapi
  2. Reuben 92

    Baa kuna Vituko vyake bhana

    Aaaah mkuu umesema una miad na baamed ama sio wewe
  3. Reuben 92

    Baa kuna Vituko vyake bhana

    Ebhana poa ila kumbuka usinywe pombe na kuendesha chombo cha moto pia usisahau ukimwi bado ni tishio hivyo tumia kinga kumbuka kinga ni bora kuriko tiba
  4. Reuben 92

    Baa kuna Vituko vyake bhana

    LA chaz songea ama sehemu gani mkuu
  5. Reuben 92

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Duh ebhana God must be clazy naielewa sana pumzika kwa amani nigau aka bush men hii movie naielewa sana pili ni Mr ibu naielewa sana
  6. Reuben 92

    Jinsi kiatu brand ya TAIMA kilivyotikisa 2000's

    Nilivaa enzi napata kipaimara at simiyu it was 2016
  7. Reuben 92

    Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

    Wangoni wanatabia mbaya kama vipi bora nikaoe home simiyu ila naitaji nimuoe mwanamke ambaye anajielewa kama huyu
  8. Reuben 92

    Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

    Mie ni 26 naitaji uwe Mke wangu sema niko songea ruvuma mie ni mission town pia ticket master
  9. Reuben 92

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Tatizo niko songea naitamani sana
  10. Reuben 92

    Mbowe: Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi walipiga kura na kuzijaza kwenye maboksi. Hatutashiriki uchaguzi utakaoitishwa na NEC

    Huna akiri ndugu unafurahia nchi yako kukosa demokrasia kweli kati ya zero na wewe umo huna tofauti na bwege Wa dar
  11. Reuben 92

    Tetesi: Tumtegemee RC Mtaka Dar?

    Mie malambo salamu zao hapo dutwa
  12. Reuben 92

    Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

    Mwamapalala sio mbari na mjini bnana karibu malambo
  13. Reuben 92

    Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

    Vipi barabara zinapitika nataka nilete gari langu
Back
Top Bottom