Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,894
- 2,536
Bila kusahau na ZNTaima shule ya msingi miaka ya 2004 bila kuwa nayo ni kisanga asee
Bila kusahau na ZNTaima shule ya msingi miaka ya 2004 bila kuwa nayo ni kisanga asee
Kabisa afu kuna kitu kilikua kinaitwa mshiteBila kusahau na ZN
Kama ambavyo saivi tunashabikia crownBongo bana unaweza kukuta nchi nzima wanashabikia kitu kimoja
Wazee wa monday kutokelezea na kishati cha TOMATO
Unakumbuka nguo zile za babukubwaNeno babukubwa [emoji23] kitambo sana
Nimezikumbuka mkuuUnakumbuka nguo zile za babukubwa
Ilikuwa kaptula na tisheti yake kaptula ilikuwa na kale kapochi ka kiunoni