Recent content by Retina

  1. R

    Watumishi wa umma Zanzibar wapata nauli, wale wa muungano hali ya uchumi haijatulia

    Yawezekana watanganyika wananyonywa hasa na wazanzibar, watumishi wa umma wa muungano wanailisha zanzibar, juhudi zao za kazi, maarifa na jasho linalovuja sio kwa ajili yao tu bali hata kwa watanganyika. Mikopo inayokopwa na wakuu wa muungano sio kwa watanganyika tu bali hata kwa wazanzibar...
  2. R

    Utitiri wa vyama vya wafanyakazi chanzo cha kukosa umoja wao

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani,wafanyakazi nchini wako kwenye mjadala wa kikokotoo,bima ya afya,nyongeza ya mishahara,kupanda n.k. huku wakikosa umoja na mtetezi atakayesimama kuwasemea ili kufika pale wanapotaka. Kwa miaka kama tisa au kumi tangu utawala wa Rais...
  3. R

    Waziri wa Afya kazi imemshinda tishio la Hospitali binafsi kuikataa NHIF

    Nhif ni saccos wanakopeshana wao KWA wao na ni benki pia wanakopesha taasisi za umma hata serikali kukuu hujichotea hela.
  4. R

    Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Anajua nini kuhusu wanawake wa Tanzania,anajua nini kuhusu MAKUNDI maalum,yaan teuz zingine ni kichefuchefu tu
  5. R

    Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

    Hapo utamgusa Mwiguru,bashite na igp kipind kile.Hawa jamaa Wana Siri kubwa mno mioyon mwao
  6. R

    DOKEZO Waziri Mchengerwa, nenda Nasibugani Sekondari Mkuranga, shule haina umeme, maji, madawati, walimu, vitanda wala barabara nzuri

    Shule hii kidato Cha I-VI, shule imepelekewa wanafunzi 400+ wa kidato cha tano huku hakuna miundombinu inayotosheleza kupokea idadi hiyo ya wanafunzi. Shule ni kama imetelekezwa hakuna anayejali, watoto wetu wanalala chini, umeme hakuna shule ipo gizani wakati ipo porini, shule haina walimu wa...
  7. R

    Utitiri wa viwanda vya bati Tanzania na paa za nyumba zenye bati mijini kuwa na kutu ni Udhaifu mkubwa uliopo TBS

    Miji mingi Tanzania inakabiliwa na kupoteza ubora,nyumba nyingi zinaonekana kuchakaa hususani paa za nyumba nyingi kuonekana kuwa na kutu. Yawezekana ni bati kutokuwa na bati nyingi kukosa ubora licha ya hapa nchini Kuna taasisi ya umma inayoshughulika na ubora wa bidhaa. Utitiri wa viwanda vya...
  8. R

    Wale wa udsm mnaikumbuka September Conference?

    Wanachuo wakisup siku hiz wanalalamika mitandaon media zinapiga kelele,wanasiasa wanaunda kamati kuchunguza kwann wanasup,Kwa kuona hivyo hakuna sup sikuhiz,pili wogawa serikali kupoteza Hela Kupitia heslb vyuo wanalazimisha kufaulisha tu,wakija kupata AJIRA utafikir katokea form two na...
  9. R

    Shehe Mwaipopo: Wakati Dini nyingine wanakazana kujenga Mashule na Hospitals Bakwata wao Wamekazana kuhakiki Mali za Urithi!

    Ni kweli,Tangu enz hizoChuo kikuu kimoja tu Cha kiislamu Cha Morogoro na majengo yake tulipewa na JK.Hata hvyo wengi wetu hatuendi kusoma hapo hata dini jirani zetu hawaruhusiw.Bakwata ni majungu tu.
  10. R

    Hii ya wake wa viongozi wastaafu kuanza kulipwa ni zaidi ya too much

    Ukiwa kwenye ofisi za umma,iba uwezavyo.Ukitaka kujua angalia mtumishi wa umma akifariki kabla ya kustaafu,bila michango ya wafanyakazi wenzio mambo hayaendi,sanduku linawekwa kwenye Carrier ya cruiser.Wanasiasa wakifariki Hadi nyumba zao zinakarabatiwa.Uzalendo sio tz
  11. R

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) ni kikundi Cha wezi kinacholewa na Serikali

    Heslb wamekuwa wakikata hela hovyo Kwa watumishi wa umma hata Kwa watumishi wa umma wasio wanufaika au wanufaika waliomaliza madeni Yao ya Mikopo bila utaratibu.Inaonekana Hawana database ya wanufaika waliomaliza madeni hivyo hurusha jiwe,watakaolalamika ndio wanajua huyo hana hadaiwi au...
  12. R

    Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Hela za watanganyika zinaijenga Zanzibar,kwao umeme wanauziwa Bure watanganyika tunawalipia
  13. R

    Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

    Kuanzia jtatu saa Tano naingia kazin,saa saba najitafutia ugali
Back
Top Bottom