Recent content by respiration

  1. R

    Kutokea IAAF London 2017: Alphonce Simbu

    Kirui wins gold Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    Kutokea IAAF London 2017: Alphonce Simbu

    Ni kweli anaendelea kuwabana,ngoja tuone Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    Kutokea IAAF London 2017: Alphonce Simbu

    Sikuwa zimesalia Dk 10 mtanzania yuko nafasi ya tatu,tuongeze maombi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Nimeiona hili wakati wa uzinduzi wa bomba la mafuta la Hoima hadi Tanga uliofanyika Chongoleani.Kitendo cha kuwaita wote wawili Mh Makonda na Ruge na kushikana mikono ni hatua nzuri na ya kuungwa mkono,ni wakati sasa wa kuendelea kuangalia na migogoro mingine pia nchini ambayo ni kikwazo kwa...
  5. R

    Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wakata rufaa dhidi ya adhabu ya Mdee na Bulaya

    Ni kweli kabisa,ila mimi ninaona kwamba wanafuata utaratibu ambao utawasaidia huko mbele ili isije kuonekana ina hatua wameiruka. Nadhani watakuwa wamejipanga ili wasifanye makosa,ngoja tusubiri tuone
  6. R

    Zijue Sifa na Majukumu ya Mkuu wa Mkoa kisheria hapa Tanzania

    Ni kweli kabisa ila kwa taratibu zetu waziri ni lazima awe mbunge,sasa nadhani mawaziri wanaangukia kwenye sifa za ubunge,ila kama pia kuna qualifications kwa mawaziri tunaomba pia ziwekwe hapa.Lakini pia anasema alishiriki kwenye utungwaji sasa hatujui ilianza kutumika lini
  7. R

    Unayependa kuniandika kitabu cha wageni guest house ukiwa na kimada uache

    Ni jina pekee yaani yote matata yamefanana?! Ina maana na taarifa zingine zote pia zimerandana na zako? Hadi hata passport number kama unamiliki passport pia zimefanana!!!
  8. R

    Spika awataka Freeman Mbowe na Halima Mdee wafike mbele ya Kamati ya Maadili. Matusi yawagharimu

    Msemo maarufu ni " mwendo wa kobe" ila kutembea kama kobe itakuwa na maana tofauti, kwa mtazamo wangu ila wajuzi wa kiswahili watatusaidia!
  9. R

    Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta

    Alipata Division gani?
  10. R

    Sitasahau siku niliposhuhudia rafiki yangu akimezwa na chatu

    Hii ni kweli, ilinitokea enzi hizo nikiwa darasa la 6 chatu alikamata mbuzi tena alichagua beberu kubwa kabisa, kwa kuwa tayari nilikuwa na ufahamu wa simulizi za chatu niliweza kumuokoa mbuzi kwa kutumia fimbo tu, na ninajua ni jinsi gani chatu alivyo na kasi wakati anajiviringisha anapokamata...
  11. R

    Tigo wameanza kukata VAT ukinunua salio kwa tigo pesa

    Sawa mkuu inawezekana ni hivyo,labda kujiridhisha zaidi ni pale mtu unaangalia akiba yako kwanza ya tigo pesa kisha baada ya muamala uangalie tofauti
  12. R

    Tigo wameanza kukata VAT ukinunua salio kwa tigo pesa

    Kwangu ndio nimeona leo kwenye kununua muda wa maongezi, ila kwa hizo huduma nyingine kama LUKU huwa naona wanakata
  13. R

    Tigo wameanza kukata VAT ukinunua salio kwa tigo pesa

    So gharama hii haipunguzi kwenye akiba ya mteja?
  14. R

    Tigo wameanza kukata VAT ukinunua salio kwa tigo pesa

    Muda huu tu nimenunua salio kutoka account yangu ya tigo pesa TZS 1500 nimepokea ujumbe wa kukatwa VAT Tsh 228.81.Wanajukwaa hii imekaaje?
Back
Top Bottom