Recent content by resistor colour code

  1. resistor colour code

    Nahitaji kuwa certified kama Professional Engineer na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB). Utaratibu upoje?

    Habari wanajamvi, mimi ni graduate wa BE electrical engineering class of 2018. Baada ya kumaliza masomo yangu 2018 niliajiriwa na taasisi moja binasi kama electrical maintainace engineer na baadae nilisajiliwa na bodi ya wakandarasi ERB kama graduate engineer. Nimeshafanya kazi sasa kwa muda...
  2. resistor colour code

    Msaada kwa hizi programing cable za siemens

    Habari za jioni viongozi na poleni kwa majukimu. Ninaomba msaada kwa yeyote anaefahamu wapi naweza pata hivyo vitu ainishwa hapo kwenye picha. Mimi ninapatikana Dar es salaam,Tanzania. 1.Siemens Logo Programming cable. 2.Pc to Mpi adapter kwa ajiri ya Lower siemens plcs (S 200, S 300 etc)...
  3. resistor colour code

    Kusafirisha mzigo toka Nairobi, Kenya to Dar es Salaam, Tanzania

    Habari za jioni, Nimenunua bidhaa ya electronics ya uzito wa 11kg, Kenya na nataka kuusafirisha kuja Dar es Salaam. Kwa wenye uzoefu naomba mnijuze njia ya gharama nafuu ninayoweza kuitumia. Wasaalam.
  4. resistor colour code

    Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

    Hata mimi nakubaliana na wewe, Sema sasa nazipataje hizi hapa nyumbani? Pesa sio tatizo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. resistor colour code

    Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

    Hivi wakuu vp kuhusu zile Sony home theater N9200? Kwa yeyote aliyewahi itumia.
  6. resistor colour code

    Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

    Nimekuelewa mkuu, nami ngoja nikomae nao huu wangu. Wasiojua wakiuona wanapagawa balaa ila kwa anaejua mziki mzuri hawezi tumia
  7. resistor colour code

    Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

    Kuzipata sasa ndio shughuli ilipo.Nawakubali sana hawa jamaa.
  8. resistor colour code

    Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

    Hapo nimekupata,bar inakuwa kama center speaker tu.Kwahiyo unashahuri nitafute tu home theater ? wewe unatumia ipi na ulinunua wapi? Mjini niliona za sony nyingi ni zile bdv series
  9. resistor colour code

    Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

    Yes ni kweli kabisa,Nina Soundbar ya Sony HT 700 RF ya multchannel 5.1,1000 watts ila output yake sijaipenda.Ninataka soundbar iwe powerfull kama jbl au yamaha etc
  10. resistor colour code

    Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

    Kusema ukweli Home theater ni kwa wale wanaotaka serious audio systems na soundbar ni kwa wale tunaotaka simplicity na good sound tu. Mimi napenda Soundbar na stylish yake kuliko home theater.Sasa kuna soundbar amabazo ni more powerfull ila sijui nitapata wapi kwa hapa Dar es salaam
  11. resistor colour code

    Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

    Msaada nataka kununua soundbar nzuri ya 1000 watts, naomba ushauri wa kitaalam aina ipi ni nzuri na wapi ninaweza pata. bar ya uhakika. Pia kama wewe ni muuzaji karibu. Bajeti yangu ni 1-2 Million.
  12. resistor colour code

    Corona virus wanakufaje kwa kufukiza?

    Mbuzi wewe,aliyekuambia tunajifukiza kwa temperature ya 56 Celsius degrees ni nani? Hapa ni 70 degree centigrade Sent using Jamii Forums mobile app
  13. resistor colour code

    Nifanyeje mpenzi wangu hanipi hela ya vocha ila anataka nimjibu meseji zake?

    Jiwe juu ya jiwe Sent using Jamii Forums mobile app
  14. resistor colour code

    Barakoa ya kumtisha mtoto asikatae chakula

    [emoji38][emoji38][emoji38] Ndizo zilizowasaidia Wuhan kupunguza idadi ya maambukizi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom