Recent content by Req

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio Wasafi inayosifiwa?

    Youtube ndio kulikuwa na tatizo hilo ukitazama kawaida ukitumia earphone ilikuwa unaskia kawaida
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

    Arena chama lao wadau wanajua sana bonge la kipindi
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda Wanawake wembamba

    Wembamba wazuri lakn mnawaonaje hawa wenye shape zao kuna mda unaona shape had unataman uzmie
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

    Momo fundi anajua tofauti na kile kijamaa cha E fm panjuan kichwa kinauma nikimskiliza
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

    Jamaa wapo poa kuna vtu vichache vya kurekebshwa kiujumla kipindi kikali hakinipiti nnapokua free
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

    Eddo anajua sana, Ambangile fundi, shida wapunguze simu na wawe wanajadili maada kwa ufasaha sio kurukia kila maada inayotolewa. Ukiwachoka sikiliza U-live ya U fm kuna mafundi wengine
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

    Jamaa wanajitahd tatzo mkule yule ikishatajwa maada ya kudiscuss, kabla hata haijanoga kujadiliwa tukawasikilize wadau(wapiga simu) jamaa anayumba sana. Mkai yuko poa wampe Kawamba ahost sio kuchambua
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii show mpya ya The big Sunday live wasafi TV

    Calypso mtangazaji mzuri shida yake anapenda kutangaza kishabki sana, ajaribu kuwa neutral kama wengine ajifunze kwa ammy
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii show mpya ya The big Sunday live wasafi TV

    Show ni kali waongeze ujanja na issue za saut kuna mda ilizingua
Back
Top Bottom