Recent content by Rengwa

  1. Rengwa

    Kwa matokeo haya naweza kupata chuo cha nursing hata cha private?

    Naomba mnisaidie kwa hili. Kwa matokeo haya naweza kupata chuo hata cha private kwa kozi ya nursing? Chem- C Bios- D Phys- D Math- F Engl- F Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Rengwa

    Naomba ushauri kuhusu clinical medicine

    Kwani mkuu hyo dental na optometry kwa ngaz ya certificate zpo?
  3. Rengwa

    Certificate ya optometry na dentaly

    Niliona kupitia nacte ktk chuo cha KCMC kwa coz ya optometry. na Amo Tanga kwa koz ya Dentaly therapists. ila mwaka jana hawakuweka hzo coz kwa ngaz ya certificate.
  4. Rengwa

    Certificate ya optometry na dentaly

    Naomben msaada wana forum. Hivi ni kweli ktk faculty za Afya coz ya Optometry na Dentaly ngaz ya certificate ipo? Coz niliwai kuckia znapatkana kwa ngaz ya Diploma 2 ila juz ktk pitapta yangu NACTE nikaona ngaz ya Certificate kwa coz zote hapo juu
  5. Rengwa

    Msaada; kipi ni bora kati ya afya na uhandisi

    Afya iko poa kk piga CO hautajuta
  6. Rengwa

    Picha ya ufunguzi 2017; Busara za mzee Lowassa

    Hilo ndio jembe....!!!
Back
Top Bottom