Kwa matokeo haya naweza kupata chuo cha nursing hata cha private?

Wewe huwezi kupata kozi yoyote kwa vyuo vilivyosajiriwa na nacte kwa kuwa una Pass 3 tu.. wakt vyuo vinahitaj atleast pass 4 au zaidi
 
Nenda chuo moja kwa moja na matokeo yako watakushauri. Huku unapoteza muda dirisha la maombi karibu litafungwa
 
Back
Top Bottom