Naomben msaada wana forum. Hivi ni kweli ktk faculty za Afya coz ya Optometry na Dentaly ngaz ya certificate ipo? Coz niliwai kuckia znapatkana kwa ngaz ya Diploma 2 ila juz ktk pitapta yangu NACTE nikaona ngaz ya Certificate kwa coz zote hapo juu
Niliona kupitia nacte ktk chuo cha KCMC kwa coz ya optometry. na Amo Tanga kwa koz ya Dentaly therapists. ila mwaka jana hawakuweka hzo coz kwa ngaz ya certificate.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.