Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Huyu Mzee ni chuma cha Pua............Strong Man
Ukimuangalia vizuri utaona ana meno mithili ya Dracula.Huwa najiuliza tu. Isingekuwa kashfa za ufisadi huyu mzee si ajabu kwa sasa angekuwa Magogoni. Ufisadi nimeamini ni mojawapo ya dhambi mbaya kabisa duniani haijalishi kama umesingiziwa ama la. Ni kati ya zile dhambi ambazo Mwl. Nyerere aliwahi kusema kuwa ukishaitenda basi itaendelea kukutafuna tu!
Kwa hali inavyoendelea naamini itafika mahali jamii itamsamehe. Tuombe uzima sote tufike 2020 tuone itakavyokuwa!
Mbona anaanza kuota meno ya Dracula?View attachment 460440
Huyu Mzee ni chuma cha Pua............Strong Man
Hakuna kiongozi aliye msafi kwa Tanzania yetu kila kiongozi ana mapungufu yake ndio maana akaitwa binadamu.Huwa najiuliza tu. Isingekuwa kashfa za ufisadi huyu mzee si ajabu kwa sasa angekuwa Magogoni. Ufisadi nimeamini ni mojawapo ya dhambi mbaya kabisa duniani haijalishi kama umesingiziwa ama la. Ni kati ya zile dhambi ambazo Mwl. Nyerere aliwahi kusema kuwa ukishaitenda basi itaendelea kukutafuna tu!
Kwa hali inavyoendelea naamini itafika mahali jamii itamsamehe. Tuombe uzima sote tufike 2020 tuone itakavyokuwa!
Katika muktadha wa kibinadamu inapaswa kuwa hivyo. Siasa hata hivyo hazina ustaarabu kiasi hicho ndo maana zikaitwa mchezo mchafu. Na wanasiasa wanalijua hili! Imagine hata hawa walivyokuwa maswahiba mpaka wakapanga kuachiana madaraka.Hakuna kiongozi aliye msafi kwa Tanzania yetu kila kiongozi ana mapungufu yake ndio maana akaitwa binadamu.