Recent content by Rene Jr.

  1. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

    Tuambie ni yupi huyo? wote wana majina.
  2. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

    Kwa lugha nyingine mko confused, kila Mungu mnamtaka nyie.
  3. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Ama kweli tunatofautiana , Mfanyabiashara umehaso hatimae una bilioni 10, unaendelea kuhaso kumfurahisha nani ? wengine tukizipata tunastaafu mapema

    Huyo ni wewe sasa. Binadamu tunatofautiana malengo. Mfanyakazi akijenga nyumba, gari ya kutembelea na mradi wa kufuga kuku anahesabu amestaafu kwa mafanikio, wakati mwingine anaishi nyumba ya kupanga na anazungusha mamia ya mamilioni anasema hana uwezo wa kujenga
  4. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kitunguu msimu wa Kiangazi nyanda za juu kusini

    Hiyo ni fursa. Inamaana wakulima wengi wasio na nguvu watashindwa kulima, kwa hiyo wewe lima.
  5. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kitunguu msimu wa Kiangazi nyanda za juu kusini

    Umekaa vibaya kivipi na kwanini asiguse?
  6. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Mzazi usichome pesa kumpeleka mtoto shule ya gharama sana

    Wenye uwezo wa kulipia shule za gharama sana ni wenye pesa nyingi sana, wewe kumshauri mtu mwenye pesa sana asipeleke mtoto shule ya gharama sana utakuwa mjinga sana. Btw, Moh amesoma shule ghali kuliko zote Tanzania, Rostam amepeleka watoto wake shule ambazo ada ya mwaka ni sawa na mshahara wa...
  7. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Usiache kununua ardhi. Niliyojifunza Goba sikufanya makosa Madale

    Ni kweli mkuu, utapata kwa bei juu kiasi lakini si haba
  8. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Usiache kununua ardhi. Niliyojifunza Goba sikufanya makosa Madale

    Mabwepande 2026? Umeshachelewa
  9. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    Wewe ndiyo wakupewa pole
  10. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    Hongera sana ndugu, naona milioni 60 yako mpaka sasa ni zaidi ya 240m
  11. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Sasa watuu wataweka details zote hapa? Terms ni kati yake yeye na mwekezaji ambaye atakuwa yuko tayari, watakaa chini watajadili namna nzuri ya kufanya.
  12. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania KERO Kutolipwa na serikali kwa wakulima wa mahindi Kanda ya Songea

    Mimi nadhani haya ni matokeo ya kisiasa yasiyo na tija kwa mkulima . Kuendekeza sera za ujamaa kwa mkulima na katika dunia ya kibepari ni kuwatia umaskini wakulima. Sasa hivi kilimo ni biashara, hata mazao ya chakula ni biashara pia. Kufunga masoko ya nje ili kulinda "mlaji" wa ndani ni...
  13. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania KERO Kutolipwa na serikali kwa wakulima wa mahindi Kanda ya Songea

    Mkuu, bora hata huyo ambaye hakurudi kabisa. Shida ni kwa yule ambaye alijichanga akaamua kurudi kwa matumaini kwamba pesa itamkuta kwenye hatua labda ya palizi au ya mbolea. Mtu anajikusanya kwa nguvu zote ananunua mbegu, analima, anapanda, anapalialia....hapo kwenye mbolea ndiyo keshaanza...
  14. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania Hatari ya kutoweka kwa ndizi Bukoba (matoke) Mkoani Kagera, Je, Wizara ya Kilimo ina mikakati ipi?

    Hii kwa wenye akili na mitaji ni fursa kubwa sana
  15. Rene Jr.

    JamiiForums Tanzania KERO Kutolipwa na serikali kwa wakulima wa mahindi Kanda ya Songea

    Watu wanaogopa, usije kujikuta matatani kwa sababu ya kudai kimilioni kumi chako.
Back
Top Bottom