Recent content by Renatus Samila

  1. Renatus Samila

    JamiiForums Tanzania India Inapanga kununua Mafuta ya bei nafuu kutoka Urusi

    Wewe umeyaona wapi hayo mashariti,
  2. Renatus Samila

    JamiiForums Tanzania Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

    Acha tabia ya kukopi bbc na kuleta jamii forums We need fresh news
  3. Renatus Samila

    JamiiForums Tanzania Russia yalazimika kuuza mafuta kwa bei ya promotion

    Unatoa habari kwa millard ayo unatuletea huku, acheni kuifanya jamii forum kuwa ya mashabiki na vilaza
  4. Renatus Samila

    JamiiForums Tanzania Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

    The safety and security of the entire world must hang in balance
  5. Renatus Samila

    JamiiForums Tanzania Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

    Vita lengo sio kuharibu maisha ya binadamu, yeyote apiganae vita tamaa yake ni kuona matunda mema wakati ujao. Mrussi anahitaji hakikisho na hakikisho linapatikana kwa documentation, hivi vikao wanavyovifanya ndivyo vinavyobeba hatima ya vita.
  6. Renatus Samila

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

    Inaonekana una imani sana, tusaidiane kupunguza bei ya nondo basi watu tujenge hata vichanja
  7. Renatus Samila

    JamiiForums Tanzania FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

    Chambua hizo trillion kumi amelipa wapi, acha kuweka kipambio
  8. Renatus Samila

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Njia ya kununua hisa na bei ya hisa
Back
Top Bottom