Russia yalazimika kuuza mafuta kwa bei ya promotion

Hizo ofa hata kabla ya vita mrusi alishaanza kuzitoa kwa baadhi ya mataifa..........kuna huyu mpumbavu mwengine anakumbuka shuka asubuhiView attachment 2150321View attachment 2150322
Wewe kweli ndio Mpumbavu kabisa,yaani hata ulichoposti hujakisoma. Tarehe 13 March 2022 ilikuwa Kabla ya Vita? Urusi kavamia Ukraine tarehe 24 Februari 2022. Hicho kijihabari chako Cha Urusi kutoa punguzo la Bei kwa Serbia kinaonesha ilikuwa tarehe 13 mwezi March ambayo ni Jana TU . Pro Russia anzeni Donation kumchangia Putin hela ya kurndesha Vita.
 
Siku chache zilizo pita waliwauzia Shell mafuta kwa bei ya kutupa, Shell imesutwa mpaka wameomba radhi na boss wao ameamua kujiuzulu na wamefunga shughuli zote nchini Russia. Watu wana utani, hivi mmarekani akimwambia India marufuku kununua mafuta ya Russia India atabisha? Kwa mazingira ya sasa India hawezi kununua mafuta ya Russia hata akipewa bule atayakataa.
 
Siku chache zilizo pita waliwauzia Shell mafuta kwa bei ya kutupa, Shell imesutwa mpaka wameomba radhi na boss wao ameamua kujiuzulu na wamefunga shughuli zote nchini Russia. Watu wana utani, hivi mmarekani akimwambia India marufuku kununua mafuta ya Russia India atabisha? Kwa mazingira ya sasa India hawezi kununua mafuta ya Russia hata akipewa bule atayakataa.
Hii fresh kabisa........imetoka jikoni
Screenshot_20220314-185237_RT News.jpg
 
Hii habari imeharibikia pale kwamba Urusi inaomba silaha kutoka uchina huu ni upuuzi yaani nchi yenye ghala kubwa la silaha kuliko nchi yoyote leo iombe silaha tena ikaombe kwa mwanafunzi wake? Russia inaweza pigana na nato hato miaka 50 na bado mshindi hajulikani halafu unakuja na stori kwamba urusi inaomba silaha kutoka china? Kumbe humu watu ndo mtaifahamu urusi kwa mara ya kwanza kwa hili linaloendelea huko ukraine
Kumbe zilikuwa story tu hata hilo ghala limejaa manuclear tu ya kutishia watu, Sasa kwenye hii vita nuclear haitumiki na silaha za kawaida ndo hivyo tena hali tete imebidi aombe msaada.
 
Tunazungumzia Russia akiungana na China na India Marekani Chali kama ulivyosema huko nyuma, kwanza hadi sasa hao walishaungana, unaifahamu BRICS?! Lakin pamoja na muungano wao lakini Marekani haijawa Chali, au labda ulitaka waungane wawe nchi moja?! Hapo Sasa ndo utajua kumbe walishaungana lakini bado US haijawa chali na bado china anafanya biashara kubwa zaidi na US & EU kuliko hata na hao wanachama wenzie wa BRICS.
Umesema Russia ana rasilimali za kutosha, US pia anazo rasilimali za kutosha. Kwa hiyo hapo utaona US ana rasilimali, Uchumi, Nguvu ya kijeshi, Technology, democracy na utawala bora, ukiangalia washirika wake wa ulaya, Canada, Japan, South Korea, Israel, nk pia wako vizuri mno katika mambo mengi. Sasa huo uchali wa US uko wapi?
Chali kwa lipi? India ni democratic itaunganaje na hao wanyapara?
 
Lini India ametangaza kuacha kununua mafuta ya Russia?! Sema India walikuwa kwenye mchakato huo ndo hivyo Sasa Russia kawapigia magoti na kuwaahidi kuwauzia mafuta kwa bei sawa na Bure.
Kama mwalimu wako alikufundisha hivyo sio mbaya pia.............jipigie makofi
 
Hii vita Leo imefikisha siku 21 , tayari Russia ulimi nje,vikwazo vikiendelea kwa miezi 6 Hali itakuwaje huko Moscow?Watarudi kipindi kile wafanyakazi walikuwa wanalipwa mkate na vodka kama mshahara,badala ya fedha!
Naona yametimia🤔
Screenshot_20220314-212822.png
 
Hii vita Leo imefikisha siku 21 , tayari Russia ulimi nje,vikwazo vikiendelea kwa miezi 6 Hali itakuwaje huko Moscow?Watarudi kipindi kile wafanyakazi walikuwa wanalipwa mkate na vodka kama mshahara,badala ya fedha!
Acha uongo leo ni siku ya 19 na majeshi ya urusi yamefika mji mkuu Kiev. Zelensky anatumia raia kama ngao urusi hana namna ni kuwabomoa tuu sasa afanyeje na wanarusha risasi?
 
Uganda JWTZ ilipovamia Uganda Kumtoa nduli Idd Amin kila sehemu JWTZ ilipokelewa kwa shangwe na vigelegele Uganda .Jeshi la Russia umeona likipokelewa kwa shangwe na maua Ukraine, wapi?

Putin anapigana unpopular war isiyo na support ya Ukraineans mpuuzi mkubwa
Mbona unatoa mifano ambayo haifanani we mlokole unajua chanzo cha vita ya Uganda na hii ya Russia na Ukraine?
 
Acha uongo leo ni siku ya 19 na majeshi ya urusi yamefika mji mkuu Kiev. Zelensky anatumia raia kama ngao urusi hana namna ni kuwabomoa tuu sasa afanyeje na wanarusha risasi?
Upiganaji wake ni uoga ,kuua Kila mtu,mpaka watoto wachanga bila kujali chochote!
 
Kwanza wameanza kwa kumbembeleza India wamuuzie mafuta kwa bei ya hasara angalau tu wapate pesa ya kuendesha vita, na pia wamempigia goti mchina awape msaada wa Fedha na siraha.
Dah! Pumzi imekata mapema sana kwa mrusi.

======

NEW DELHI, March 14 (Reuters) - India is considering taking up a Russian offer to buy its crude oil and other commodities at discounted prices with payment via a rupee-rouble transaction, two Indian officials said, amid tough Western sanctions on Russia over its invasion of Ukraine.

India, which imports 80% of its oil needs, usually buys about 2% to 3% of its supplies from Russia. But with oil prices up 40% so far this year, the government is looking at increasing this if it can help reduce its rising energy bill.

"Russia is offering oil and other commodities at a heavy discount. We will be happy to take that. We have some issues like tanker, insurance cover and oil blends to be resolved. Once we have that we will take the discount offer," one of the Indian government officials said.

Some international traders have been avoiding Russian oil to avoid becoming entangled in sanctions, but the Indian official said sanctions did not prevent India importing the fuel.

Work was ongoing to set up a rupee-rouble trade mechanism to be used to pay for oil and other goods, the official said.

The officials, who both declined to be identified, did not say how much oil was on offer or what the discount was.

The finance ministry did not immediately reply to an email seeking comments.

Russia has urged what it describes as friendly nations to maintain trade and investment ties. India has longstanding defence ties with Russia and abstained from a vote at the United Nations condemning the invasion, although New Delhi has called for an end to the violence.

Russia's Surgutneftegaz (SNGS.MM) allowed Chinese buyers to receive oil without providing letters of credit (LC) payment guarantees in order to bypass sanctions, sources told Reuters. read more

The Indian government, which could see its import bill rise by $50 billion in the fiscal year starting in April, is also looking for cheaper raw materials from Russia and Belarus for fertiliser, as the cost of its subsidy programme has rocketed.

The government, which has already doubled its subsidy bill for the fiscal year to the end of March 31, allocated a further 149 billion Indian rupees ($1.94 billion) on Monday.

The government expects the fertiliser subsidy bill to rise by at least 200 billion to 300 billion rupees in the next financial year, from the current estimate of 1.05 trillion rupees, the two officials said.

"If we can get cheaper fertiliser from Russia then we will take that. It would help in easing some fiscal concerns," one official said.


($1 = 76.6100 Indian rupees)

Reporting by Aftab Ahmed and Manoj Kumar; Editing by Edmund Blair

Reuters

View attachment 2150157
Unatoa habari kwa millard ayo unatuletea huku, acheni kuifanya jamii forum kuwa ya mashabiki na vilaza
 
Back
Top Bottom