Hivi kama siasa ingekua ni Kwa ajili ya watu hivi Kuna haja ya kuwa na viongozi rundo sehemu Moja mfano. Wilayani Kuna mkurugenzi, mkuu wa wilaya, katibu tawala, Mwenyekiti wa halmashauri, wakuu wa Kila idara ..........na wengine wengi na wote wanalipwa mshahara na asilimia kubwa wanateuliwa
Kama ukisema maji maji ya manii ya na uhusiano na uhakika wa uwepo wa mungu he kwanini mahindi,maharage na mazao mengine yanachimbiwa ardhini na kuchipa na kutoa mazao mengi ila watu hichimbiwa ardhini huoza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.