Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Ndg jamaa na marafiki ninaomba mwenye kujua mahala kariakoo wanapouza nguo (jeans za kiume na kike magauni ya kisasa) kwa bei nafuu aniambie kama pia naweza pata namba za simu itakuwa heri Zaidi.
 
Wakuu habrn za majkmu

Naombeni kuelimishwa kuhs hi biashara ya mitumba hasa ya nguo za watoto. Kuanzia mtaji wake kwa robota 1 na pia uuzaj wake maana nataka nijiajiri na nmekaa nikafkiria nikaona hii itafaa sana japo sjawah kuifanya.

Naomba kama kuna wabobez kuhus hili nifafanuliwe zaidi wakuu
Nawakilisha.. Karbn kwa msaad wenu

Screenshot_2019-08-03-16-37-45.jpeg
 
Sijafanya biashara ya nguo za watoto ila nishafanya biashara ya nguo za mitumba , ni biashara nzuri sana kama utakuwa mtu wa kujituma, na inategemea biashara yako unafanyia sehemu gani, ukiwa unafungua balo la mtumba na nguo zikatoka nzuri basi jua utapata pesa yako mara mbili ya mzigo.

Mfano ukifungua hilo balo moja la nguo za watoto, watakuja walengaji uta wauzia,wateja wa reja reja uta wauzia,wateja wa jumla uta wauzia, inategemea wewe biashara yako unataka kufanya vipi? Mana wengine huwa wanauza kwa kwenda kwa kwenye minada. na bei ya balo inategeme na mzigo unao chukua coz kuna kuwa na lebo, kama za Canada, China na kwingineko.
 
JUMUISHENI NA BIASHARA YA MABEGI YA MTUMBA ESPECIALLY SCHOOL BAGS

NAOMBA KUJUWA UPATIKANAJI WAKE, BEI ZAKE PIA
 
Ahlan Wassalan ndugu wanajamvi naomba tathimini,gharama na taratibu za kufanya biashara ya nguo za mitumba Mwenge. Mbeya mjini nataka kujua gharama za baloo,utaratibu wenyewe wa kufanya hiyo biashara unatakiwa uwe na mtaji kiasi gani na mambo mengine chungu wa tele.

Asanteni.
 
Bado natafakari niifanyeje bizness hii kama side hustle.

Kuchukua mabelo (mabalo) ya nguo za mitumba grade one kutoka Dar na kuja kuuza dodoma rejareja kwa kutandaza chin maeneo yenye watu wengi kama nyerere square pale au minadani.

Nimeanzia sokon na nimegundua nguo zinauza sana ni nguo za kike hasa skinny jeans na vitopu pamoja na nguo za watoto.

Naombeni ushauri wenu kwa haya:
*nianze na nguo zipi? Za kike au za watoto?

* Nianze na belo ngapi? Nilifikiria kuanza na hata mabelo mawili ili nizoee bizness hii.

* Kariakoo bei ya belo moja la mitumba la nguo za kike linauzwa wastan bei gani kwa grade one? Naomba kujua na kgs zake

* Hii biashara faida yake ipoje kwa wazoefu? Na changamoto zake zikoje

Ni hayo tu. Nishapata kijana mwaminifu wa kufanya mauzo ingawa for the first 2 weeks nitakuwa naye kuusoma mchezo
 
Jamani naomba mnisaidie ushauri wa namna bora ya kufanya biashara ya nguo za mitumba kwa mtaji wa kama laki mbili. Nafikiria kuifanya hii biashara Dar.
 
Kwa laki mbili unabata belo la kg 45 lenye nguo 85 mpaka 90 grade one pale mnazi mmoja

Sidhani kama ndo anaanza anunue belo..maana hyo bei ni ronya!nguo km nguo atapata chache sana itamkata!ah hizi biashara nshasahau!nayo poa tu..belo la 200k lipeleke minadani, sio Dar.
 
Wasaalam .

Naomba wale wajuvi wa Biashara ya nguo ya za mutumba imekaaje?

Nikiwa na mtaji wa 1M naweza kufungua biashara ya nguo za mitumba inayo eleweka.

Then vipi kuhusu kupata zile nguo za mitumba zenye quality .

Sent using Tume huru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom