Recent content by renatt

  1. renatt

    Christmas is here, zawadi gani umemwandalia Mpenzi wako

    Ntamnunulia special Bikins(brown,pink n white)!!! Plus love pop!!
  2. renatt

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Zitto ni mtu hatari sanaa jamani...huez kujib umechoka kirahisi vile...kuna maslah yake ktk hli.
  3. renatt

    Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

    Mtoa mada muombe Mungu akupe kichwa chenye akili...una li'NAZI' tu hapo juu.
  4. renatt

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Uongoz wa chama tawala unanuka kbs....
  5. renatt

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Mbowe is a Genius...CCM mashetwani kabisa....kweli nmeamini usjefanya majadiliano na shetani lazma uangamie km CCM walvyojipanga kuliangamiza Taifa...
  6. renatt

    Hii ni kwa Wanaume wote ni malimbukeni wa Mapenzi

    Papapaaa...bonge la akili.
  7. renatt

    Matumizi Bora ya Simu kwa wenye Michepuko

    Ni aibu kuchepuka jmn...inakushusha thaman hyo tabia
  8. renatt

    Fumanizi live, je utachukua hatua gani?

    Teh teh....shost wako hapendwi..mwambie mme wake ni hyo elim yake.,..aache changanya mpnz na shule..
  9. renatt

    Nimeshindwa kupenda kabisa, and I don't know what to do

    Ebu onyesha kukua kidogo tu...mbona pombe na refreshments zako znakujali...ss kwann wewe haujali mahusiano af unawaza kuoa?
  10. renatt

    Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

    Hujasov mbona...umeahrisha tu....ipo siku utamvulia...upo weak kbs,ungekua na msimamo wa NO wala usingekubal ofa yake yyt....siku znakuja utamrudia tu.Tamaa mliumbiwa mbona!
  11. renatt

    Kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi huweza kumfanya binti kupoteza fahamu?

    No...ni kujiendekeza tu.Idle minds plus porns/sex excitets znaweza mfanya mtu awe ktk hal yakuwaza mpnz mda wote ndo hapo huonekana kapoteza faham....kwan hujawah ona mtu yupo ktk msongo wa mawazo had unamshtua?si ndo kupoteza mawazo kwenyewe....
  12. renatt

    Mwanaume kama kazi yako ni hand to mouth usioe golikipa

    Kweli...na si mama tu,had watoto wafunzwe kujitaftia mapema..muish km kampuni arooo la sivyo.....
Back
Top Bottom