Christmas is here, zawadi gani umemwandalia Mpenzi wako

Christmas is stressful time of the year gifts.

Usimsahau Mpenzi wako kumpa zawadi nzuri, shukuru Mungu unampenzi kuna watu wanawatafuta na hawana.

Kuna mdada wa kizungu Leo nilimuuliza unaenda out akanimbia sina mtu na sijawahi hata kupata date wala kutolewa out.

Nilimuonea huruma akaanza kulia.

Kwa hiyo jamani don't take your partner for granted mshukuru.

Mmmmhhhhh!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom