Hii ni kwa Wanaume wote ni malimbukeni wa Mapenzi

we mzabizabina we try to understand usimeze tu mazima mazima tafuna kidogo mkuu....the way nilivyoongelea utaona nimemaanisha imekua ni fashion nowadays kila mtu anaangalia **** na sura nzuri kwanza na shape kwa jumla kama criteria za msingi kabisa na za awali za kuanzisha mahusiano ya mume na mke, ila kiukweli hata mkibisha hadi kesho wengi wao (asilimia kubwa) believe me or do your own research kichwani hamna kitu. na mapedeshee wa jiji watakushikia sana pindi upo safari, Na dada zetu hawajaumbwa kukataa kataa tu, wakati mwingine wananyoosha mikono

hahaha okay kweli nakubaliana na wewe kuwa ukioa mwanamke mwenye **** zuri na sura nzuri utakuwa unakaribisha matatizo lakini kwangu mie naona kwamba ata wale wanawake wakawaida bado wanalambwa tuu na watu. kabla ya kuanza kumfuatilia demu ni muhimu sana ukiwa unavutiwa nae sasa kusema kweli wanaume tunapenda ile shape nzuri kijitako na mtindi vyote hivyo ni vizuri kuangalia na kama mtu katika criteria zako za physical attributes unazotaka katika mwanamke ndio hizo basi ni vyema kutopotezea hivyo vitu bana. hivyo basi nina shauri kabisa kuwa mwanaume asipotezee kabisa hizo physicial attributes na pia ukumbuke tunatofautiana hapo pia.
mwanaume mwenye hekima ataupa uzito pia tabia ya mwanamke kama vile anavyoipa physical attributes uzito. hapa kinacho itajika ni kuwa na usawaziko....hii nikutokana na kwamba hutapata kila kitu unachopenda both in terms of physical and character attributes. ni mbaya sana eti wewe unapenda nyonyo kubwa kisa demu ana tabia nzuri tuu basi wewe wasema ame mke...bliv u me ipo siku utatamka hilo jambo la wewe kupenda nyonyo kubwa na ndio hapo mwanamke ataona kuwa she will never be gud enough for you.
my advise: have a balanced view concerning uzuri na tabia vyote ni muhimu kuzingatia katika kuchagua mke. suala la wazuri kupitiwa mbavuni ata wasio wazuri wanamengwa so dnt even stress. kupitiwa au kuto pitiwa is a matter of choosing the rite woman and u being faithful period!!! alafu kama unataka mwanamke mzuri hakikisha kuwa una mapenez!!!!! gud things dnt come cheap.
 
Hahahahahha umenichekesha asubuhi asubuhi Mkuu. Great
Mapenzi sio Shape...Kuna Wanawake wana Shape
kuubwaaaaaaa lakini wana akili ndogo kama
punje ya hindi,ukimuweka ndani huyu ni hasara!
Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani
wako very smart na wana all qualities za kuwa
mke na mama bora...Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo
nyama ndo zitaendesha nyumba.
Nyumba haiendeshwi kwa Shape ya
Kalio,inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama ndio
kiongozi wa Familia,inapaswa awe na akili na awe
msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.Taifa imara hujengwa na Familia imara na
bora..Uchaguzi ni wako,na ukumbuke,Kalio huwa
na tabia ya kuyumbayumba ukitembea,na hivyo
ndivyo hata Familia yenu itakavyo-yumbayumba
kila siku kwa sababu itakuwa inaendeshwa kwa
kalio na sio akili!

Kwa hisani ya watu wa Marekani!
 
Kwa macho ya kibinadamu na fikra za zetu wanaume sio raisi kupata mke aliye bora. Hapa katika hili ni kumuomba Mungu awe kiongozi, mshauri na mlinzi wako katika mchakato wa kutafuta mke aliye bora. Si rahisi kupata mwanandoa aliye mkamilifu kwani hata wewe mwenyewe sio mkamilifu; ukishampata ulopangiwa na Mungu inabidi wote wawili muwe na bidii ya kutafuta ukamilifu, kila mmoja ajichukulie kuwa yeye ana mapungufu na ajifunze mambo mema toka vitabu vitakatifu.

Mke mwema ni yule mcha Mungu.
 
Damn you Broo, thats very sensible!
 
mkuu hapo umenena, ni kweli unapomtafuta wandani hunabudi kumuomba mungu kwani hakuna mtu mjanja duniani mwenye uwezo wa kumchagua mchumba mwema.
 
Mapenzi sio Shape...Kuna Wanawake wana Shape
kuubwaaaaaaa lakini wana akili ndogo kama
punje ya hindi,ukimuweka ndani huyu ni hasara!
Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani
wako very smart na wana all qualities za kuwa
mke na mama bora...Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo
nyama ndo zitaendesha nyumba.
Nyumba haiendeshwi kwa Shape ya
Kalio,inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama ndio
kiongozi wa Familia,inapaswa awe na akili na awe
msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.Taifa imara hujengwa na Familia imara na
bora..Uchaguzi ni wako,na ukumbuke,Kalio huwa
na tabia ya kuyumbayumba ukitembea,na hivyo
ndivyo hata Familia yenu itakavyo-yumbayumba
kila siku kwa sababu itakuwa inaendeshwa kwa
kalio na sio akili!

Kwa hisani ya watu wa Marekani!
mjomba nisawa unavyo sema ila pesa huna,gari nzuri huna,nyumba huna jamani hata MKE MZURI UKOSE
 
Awe na kalio asiwe na kalio, atawindwa tuuuu. Na pia mbona yapo matacko yenye akili za kumwaga tu za kimaisha. Mke wangu ni LAZIMA kwangu awe na vigezo vyangu. Awe mzuri kwangu na tabia ninayoitaka.
 
You make it seem like its either one or the other..but i am still under the impression that you can get both..mwenye shape na tabia nzuri pia. Don't be forced to settle for less due to imaginative fears, kitakachofata itakua constant cheating na kutoka nje ya ndoa, and then ultimately you will never be happy.

Wewe muoe kwa sababu unampenda na kumjali..awe na shape au asiwe na shape, it doesn't matter as long as you two get each other, mpendwa kuna wasio na shape watakutrick into a lifetime commitment kumbe tabia zao ni worse than others..so don't use stuff like that as your deciding criteria, follow your heart, this way, it will be easier to deal with the surprises!

Nimekuelewa zaidi
 
Kuna wenye maumbo ya kuvutia,sura nzuri na akili zisolala pia.
Wewe kama umeamua kuoa aendaye kama anarudi basi usitoe kasoro wengine.
 
suala la msingi sio kuangalia mbinuko hila unachotakiwa kikiangalia kwake ni tabia then ukiridhika nae nenda kamuulize mungu wako kama una imani atakupa majibu haraka sana. lingine kama we ni muharibufu wa watoto wa wenzio usitegee kupewa alietulia na utawa wale wale walio haribika.
 
Pole sana! kama waangalia kwa nje tu, itakuwa ngumu sana kumpata mke mwema. Ila mimi nimejifunza, Biblia inasema, mke mwema hutoka kwa Bwana (MUNGU). Mshirikishe Mungu katika utafutaji wako, utapata mke mwema!

Kweli kabisa hakunaga formular nyingine chini ya mbingu ya kumpata mke mwema!!!
 
Back
Top Bottom