mkupuo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,943
- 2,421
Mkuu nimekukubali.Bila shaka weye ndiye kamanda wa wachepukaji na bila shaka utakuwa una PhD ya kuchepuka!.Wapuuze sana waliokuponda/watakaokuponda kwa ushauri wako maana waTZ wamezoea kuambiwa uongo.Wakiambiwa ukweli wanakasirika. Big up kamanda wangu endelea kutujuza maujanja ya kuishi na michepuko bila kusababisha zali home!