Ukiniambia neno moja lakukushauri kufanya, hiyo hela kampe mama ntilie kama huna chakufanyia.
Forex ni mchezo mchafu, usidanganyike kuwa odds zipo upande wako, unapigwa na market, na broker, cfd yaani unapigwa kote kote mbaya zaidi ukiwa na nyota nzuri ukapiga hela, my dear hupati hela broker...