Recent content by Remotex

  1. Remotex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa

    100% uwezekano huo upo ndani ya wanawake kuna wanaofaa kuwa wake nao ni wachache na ni bahati KUWAPATA, hao ndio wenye hizo sifa... Nakurudia kusema "WAPO" Sijisifii akiwemo mke wangu kipenz Mama Abby, "Kuoa au kuelewa skuiz ni sawasawa na Kubet tu" Unaweza ukala au ukaliwa... Ni kumtanguliza...
  2. Remotex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa

    Utazunguka weee utarudi kwenye upendo... Kikubwa ndani ya mapenzi ni upendo mengine yatafwata baada ya upendo, kama uvumilivu, tabia njema, na kumcha Mwenyenzi Mungu
  3. Remotex

    JamiiForums Tanzania Unalalaje lodge ya 80,000 na bado hujajipata

    Wewe inakuhusu nini maisha ya mtu.... Hata akiamua kulala ya 130K per day unaumia nn...kwani waliompa hawajui bei za lodge...maisha yako ya kimaskini usituambukize wengine,na usifkirie kuwa bahili ndio kuwa tajiri🤣🤣🤣
  4. Remotex

    JamiiForums Tanzania Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    WEKA WAZO HAPA hadharani wazo lilipoombwa... acha utapeli
  5. Remotex

    JamiiForums Tanzania Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Acha utapeli ndugu swali limewekwa public wewe unataka faragha ya nini? tupo wengi tunaofwatilia haya mawazo...kama una wazo weka hapa... mbona waungwana mawazo yao yako wazi? kama angetaka PM na yy asingetaka mawazo kwa JF members public
  6. Remotex

    JamiiForums Tanzania Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Hii ya kupeleka mizigo Comoro na Madagascar kwa trip moja Meli ya tani 100 unapata faida kiasi gani? vp kuhusu mizigo ya kurudi? au unarudi tupu na kama unarudi tupu si hasara hiyo? namaanisha mafuta unayochoma kurudi bila mzigo
  7. Remotex

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Usijibu bila kuwa na references au kwa kutumia uzoefu... tafuta prospectors ya OUT 2023 and then soma entry qualifications za kujoin LLB... 1.Direct entry qualifications for form six students is two principle passes cut points not less than 4 points Other equivalent qualifications: 1.OFP...
  8. Remotex

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    @ndindilichuma ivi mtu mwenye ADVANCED Diploma ya Procurement toka chuo kinachotambulika na serikali mfano (TIA, IAA, IFM) kwa GPA ya PASS anaweza kuapply kusoma sheria (LLB) (wanasema watu wenye kada za DEGREE/ADVANCED DIPLOMA) wanaweza kuaplly kutokana na merits zao hiyo imekaaje mheshimiwa...
  9. Remotex

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    OFP ukifaulu mchepuo wa Biashara unaweza kuomba kusoma LLB? na Je nikiwa na Diploma ya Business Administration naweza kuomba kusoma LLB
  10. Remotex

    JamiiForums Tanzania Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Miezi 96 ni miaka 8 ... kwaiyo Milioni sita kwa riba ya asilimia 20 kwa miaka nane inakupa milioni kumi.... Kuna wizi gani hapo...? mkopo nafuu kabisa huo, mtaani nani anakukopesha milioni 6 ukae na hela zake miaka nane...?
  11. Remotex

    JamiiForums Tanzania Kusomea Bachelor Degree ingine

    Jaribu kusoma uelewe alichomaanisha, hata ingekuwa huo u MD unaissue au hauna issue yy ni kitu alikipenda moyoni mwake na alisoma kuupa moyo wake amani na utulivu kuwa imekipata kitu alichokuwa akikihitaji... ndio maana walidiriki kukopa na kuhonga ili atimize haja ya moyo wake... unaposema MD...
  12. Remotex

    JamiiForums Tanzania Msaada (upangaji wa division)

    Habari zenu wadau wa Elimu, naomba msaada kuelimishwa/kueleweshwa kuhusu upangaji wa DIVISION baada ya kufanya mitihani ya NECTA O'level (form IV) Natambua ni lazima ufanye masomo saba ili uweze kupangiwa Daraja (DIVISION.) Msaada ninaotaka kujua/kuelimishwa, je nilazima ufanye Kiswahili kama...
  13. Remotex

    JamiiForums Tanzania A level mwaka mmoja, nifanyaje ili nifanye vizuri katika mitihani ya mwisho

    Kuhusu kupata cheti ukihitimu form six mwaka mmoja baraza la mitihani wanakupa cheti cha form six kama wanafunzi waliosoma kawaida? na je ukifanikiwa kupata chuo unapata mkopo? mfano kama ww mwenye division one...?
Back
Top Bottom