Mbona Kuna waaarabu wengi tu ambao ni wakristu?? Hapa tunachoongalia ni nchi yetu maslahi yetu urithi wetu.. Mimi mwenyewe sifajiliii Dini Sanaa zaidi ya kifajilia mama Tanzania
Jezi nzuriiiiiiiiii sanaaa
Jezi Tano Bora kwa msumu huu unaenda kuanza mwaka huu ni.:-
1. Jezi ya Simba
2. Jezi ya singida big star
3.jezi ya azam
4 jezi ya Namungo
5. Jezi ya yanga
Kwanza mshukuuru Mungu mzee yuko fitii na ananyoosha kama kawaida..
Kama hutaki haya yatokee mjengee pembeni rumu mbili tu akae.. na kama mama yuko hai mlete aje hapo.. utawzakusolve, lkn eti umwite umwambie aache kuwasumbua watoto wa kazi.., Sijui kama in African culture itawezekana,
Angalia...
Mindset za ukanda, udini, ukabila uchama ndio vitu vinatufanya tuonekane tulivyo..
Tuwe na mawazo tuliyonayo..
Tufanye haya tunanyofanya
Na kuwa na mawazo haya tuliyonayo..
Naona ukikoment chochote achana na hayo mambo ..[emoji45][emoji45]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.