Recent content by Remijius

  1. R

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

    Àliyemteua ndo kamtengua ni sawa tu.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ili uishi na watu vizuri

    Ni sahihi lakini inategemea
  3. R

    JamiiForums Tanzania Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Huyu jamaa ni mtulivu sana. Kuna uwezekano mkubwa wa kushinda
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

    Wamethubutu
  5. R

    JamiiForums Tanzania WORLD BANK: Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19

    Naona hujasoma vizur. Huyu aliyetoa taarifa hii anashughulika na Tanzania, Zimbabwe na Zambia.
  6. R

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Maoni ya Upinzani kuhusu mabadiliko ya rasimu ya Uchaguzi hayazingatiwi

    Kwani kushiriki uchaguzi ni lazima? Kwa mfano mngeacha kusaini hayo maadili ingekuwaje? Wanachama wenu wanawategemea halafu nyie mnalalamika tu why?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Kampuni ya EasyJet yapunguza 30% ya watumishi wake

    Unemployment
  8. R

    JamiiForums Tanzania Zambia yafungua mpaka na Tanzania

    Nadhani mbinu bora ambayo Mh. ametumia ni ya kutotoa takwimu ndo inatufanya tutembee kifua mbele. Vinginevyo takwimu zingetumaliza.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Walimu wa redioni/Tv kipindi cha Corona,wanafundisha au wanatusomea?!

    Let's not generalize, siyo walimu wote wako hivo. Katika walimu 300 huwezi kosa mwalimu mwenye mapungufu. Hiyo iko hivo hata kwa kada zingine kama Enginers, madaktari, madreva n.k
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mazava chawapa likizo ya kibabe ya miezi 3 isiyo na malipo wafanyakazi wake

    Tatizo ni nini? Kama kimefungwa kwa sababu ya Colona mbona serikali imeruhusu shughuli za kiuchumi ziendelee.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mazava chawapa likizo ya kibabe ya miezi 3 isiyo na malipo wafanyakazi wake

    Hata kama ni mtumishi wa umma lazima uwe na plan B ili kuwa salama zaidi.
Back
Top Bottom