Mambo ya kuzingatia ili uishi na watu vizuri

Mkuu ukiwa na pesa hizo sifa zote zinakuja zenyewe... Nadhani ulisahau kutukumbusha tutafute pesa kwa kwa nguvu zote...ili tuishi na watu vzr
 
Katika harakati za utafutaji kuna majina mawili tu...una roho mbaya au boya.

Una roho mbaya kwa sababu unawakazia watu ili pesa yako uliyowekeza angalau ikulipe,hapa utajeruhi sana maisha ya watu hasa wale ambao ni wazembe wazembe na ambao hawako tayari kwenda sambamba na wewe ili kufanikisha malengo yako.

Utaitwa boya,mnyonge au mtu poa pale unapokuwa huchukui hatua kwa mtu pale anapoamua kukuchelewesha kwenye mambo yako bila sababu yoyote na hii inachangiwa na kuapply hizo formular hapo juu.

Hivyo mkuu hayo yote uliyoyasema hapo juu yanatujengea hofu ya kutake reaction hasa kwa watu ambao wametusababishia hasara ya makusudi.
 
No kuwa mkorofi chakaza tu hawa watu hawaeleeeki! Wazungu unaona walivyo wababe?

Ukitaka amani mkuu jitayarishe kwa vita! Ngumi mateke. Carate, bastola, fimbo panga marungu, mbwa mkali. Halafu weka fancy mwamba avuke.
 
Back
Top Bottom