Habari ya wakati huu!
Mimi ni miongoni mwa Raia mwema ninayepata huduma ya Umeme kupitia TANESCO maeneo ya Nzuguni A katika eneo la Mtaa wa Nunduru. Kutokana na utanukaji wa Jiji la Dodoma huduma ya Umeme imekuwa na changamoto kubwa ya low Voltage.
Pindi Giza linapoingia umeme unakatika na...
Mkuu kulikuwa na zile t-shirt kubwa unakuta Ina manamba makubwa na nyingine picha za za p Diddy 50cent waluguru wakiingia mjini ndio nguo zao Tena mwendo wa kudundika kama Wana spring za Benz kwenye miguu
Kama ni Kwa Nia njema wakamatwe tu hata uhuni wa kibiti ulianza hivi hivi polisi wetu waliuawa ili sisi tuishi salama na wake zetu lkn hatuyaoni hayo,hili wimbi la watu wanajiita wanaharakati wa kuhamasisha vurugu na mitengano katika jamii si wa kuwachekea wapondwe vichwa vyao mpaka mtu wa...
Ndio maana Tanzania iliitwa kisiwa Cha amani sababu Kwa nchi za Afrika ndio nchi pekee mtu alikuwa anaweza kutoka Kona Moja ya nchi mpaka Kona nyingine bila kuhojiwa Wala document yoyote lkn sasa barabara kila sehemu vizuizi vya maswali walinzi na mabunduki maswali kibao kifupi kero acha...
Nafikiri na wao wameamka baada ya kukaa nyuma Kwa miaka mingi kukosa kujiingiza kwenye siasa kama wenzao wa makanisani wakiguswa interest zao matamko makanisani na kubadili upepo wa nchi sasa na misikiti nao wamechoka kuwa wanyonge Kisha chama tawala nao waamke wawaambie wanachama wao walinde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.