Recent content by Relay

  1. Relay

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa habari Salim Kikeke achukua fomu kugombea Ubunge Moshi vijijini

    Miaka zote huwa nafahamu Kikeke kwao ni Buchosa huku Moshi vipi tena jamani?
  2. Relay

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jemedari Said ajitosa kuwania Ubunge Mtama

    Wajumbe wa Yanga walioko mtama nadhani mnafahamu cha kufanya. Kazi kwenu.
  3. Relay

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa diwani kata ya Boma Mbuzi Juma Raibu, ajitosa kuchukua fomu ya Ubunge jimbo la Moshi Mjini

    Si alikuwa Meya kisha akufurushwa kwa kashfa?
  4. Relay

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mfanyabiashara maarufu, Saimon Masalu alitaka jimbo la Katoro

    Katoro wanagombea wafanyabiashara tu wengi wao wana hela
  5. Relay

    JamiiForums Tanzania Leo hii Esther Bulaya ni wa kusema CCM aliyohamia ni sawa na Barcelona na CHADEMA iliyomtengeza kuwa Bora alivyo ni Leicester City iliyoshuka daraja?

    Ester Bulaya alitengenezwa CCM akiwa Mbunge wa Viti Maalumu kisha ndio akahamia Chadema akamuondoa rafiki yako Tyson/Wasira , aliyetengenezwa na Chadema ni Ester Matiko.
  6. Relay

    JamiiForums Tanzania Huyu nae anagombea ubunge hata shati Hajanyoosha

    Amepoteza laki tano yake alafu ubunge ndio anausikia kwenye bomba
  7. Relay

    JamiiForums Tanzania Nina miaka mitano sijala UGALI

    Uzi wa wala ndizi.
  8. Relay

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua pamoja na Yanga SC kuchukua Vikombe vitatu kwa Msimu huu je, mpaka sasa katika Viwango vya CAF ipo ya ngapi kulinganisha na Simba SC?

    Cha muhimu Yanga wameshinda makombe na wameweka historia katika Nchi.
  9. Relay

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    Viwanda vyote vya Wahindi
  10. Relay

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

    Hizo ni ramli chonganishi.
  11. Relay

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kiwango gani cha mshahara

    Unaulizia mshahara hujachaguliwa wala hujaingia hata oral interview
  12. Relay

    JamiiForums Tanzania Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    A Mume wa Ndalichako simfahamu hivyo siwezi kumzungumzia ila Bw. Mathias Gwajima mume wa Dorothy Gwajima ni wakili, Dr. James Andilile wa Dr. Tulia Ackson ni Mkurugenzi wa Ewura (PhD holder) na Bw. Hafidh Ameir wa SSH ni Mfanyabiashara. Aliyekuambia kuwa hao Wanawake wana uchumi mkubwa...
  13. Relay

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyemshinda Kimei kwenye kura za maoni ndani ya CCM uchaguzi wa 2020 atangaza nia tena

    Vunjo huwa inatawalika kwa kipindi kimoja tu haijawahi kurudisha mbunge
Back
Top Bottom