Duh kuna mtu anafanya huko nilikua namuomba mwongozo kidooogo, anasema ukianza utalipwa 550 kwa miez mitatu km probation period, halaf ukiendelea utachukua laki saba kwa miezi mitatu mingine halaf baada ya hapo ni Million 1.2 kila mwezi
Tofauti na hvyo kuna overtime ya elf 40 kwa jumamos km...
Bado kuna kile kipindi cha miezi mitatu kuangaliwa kama unaweza kazi au lah hyo naskia wanakupa 450 baada ya hapo kama umewaridhisha na utendaji wako wa kazi ndio wanakuajiri
Hapo ndo kuna shida afu naskia hua wanapitisha kisu kikali kutoka themanini hadi thelathini....hawa watu wana haja ya kubadilisha mfumo asee, mim nimewaza hadi nahis kuumwa na sina kazi kwa sasa cna budi kwenda kwa kweli
Hapo cjui kwa kweli mana mi nlivyoslot tuu nikaona jina langu kwenye session niliyochagua,,,jaribu kuangalia number zao hapo km unaweza kuwasiliana nao otherwise jiridhishe halafu uslot tena ila angalia usislot mahali ambapo watu wameshajaa tayar
haya guys angalieni emails zenu wameshatoa tareh n venue za interview, nackia ukichelewa kuselect unakuta zimejaa na ndo inaweza kua bas tena....tuendeleeni kupeana updates na miongozo ya interviews zinavyokua
Mimi nilifanya online wamenitumia jana kwamba watanicontact kwa ajili ya interview ila email nmeacknowledge leo baada ya kuiona, nackilizia Eeh Mungu nisaidie maisha magumu kitaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.