Recent content by rehemasolo

  1. R

    Gari la Mkuu wa Mkoa Mara Adam Malima, limepata ajali likiwa linaendeshwa na mtoto

    Kweli kabisa, ukute mtoto alichukua gari bila ruhusa
  2. R

    Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    Tumsifu Yesu Kristo, Kristo, Miaka Mia na Hamsini ya Uinjilishaji, Pole kwa yaliyokukuta, nina maswali mengi najiuliza, lakini kwa kifupi sana, Je ulipopangiwa misa ya mfu, ulipeleka form ya Jumuia? na viongozi wako wa Jumuia waliipitisha( yaani je ilikuwa na saini ya Mwenyekiti na Katibu) jee...
  3. R

    Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

    hivi wee una miaka mingapi, khaaa, hapo ulipo tuu kufikiria kwako kwa majanga, tuachie pengo wetu.
  4. R

    Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

    nilivyosoma ulichocomment napata picha, ungekuwa na ushahidi wa ulichoandika ungekiwa hapa, pole, kwa upole tuu naomba uheshimu kiongozi wangu wa Imani.
  5. R

    Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

    tupo tunamsikiliza, pole mwaya
  6. R

    Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

    Kwahiyo sheria kama imekupita kulia ndo uwe mjeuri? nimekuambia eleza tuelewe kushoto imeingiaje hapa khaaaaa
  7. R

    Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

    Toka mwanzo ilijulikana wapi? mie nilijua marehema alianguka mwenyewe, toa ushahidi tuelewe.
  8. R

    Priyanka Chopra Hot Bikini Pictures On Miami Beach

    Jana imetoka S02 Ep21.
  9. R

    Wakatoliki wamchoka Papa Francis,atakiwa kujizulu

    Milele Amina, well said, Avee maria
  10. R

    NSSF wasiokuwa na sifa wanajiachisha kazi wenyewe

    Ni mambo magumu, kuna manispaa zimeajiri wale manesi wa redcross, wengi wao walifoji vyeti vya form form( unajua foji ya hapa sio kutumia cheti cha mtu mwingine, wao walinunua vyeti kwa majina yao) sasa hakiki sidhani kama inawajua hawa, yenyewe inaangalia walio na vyeti vya watu wengine, yaani...
  11. R

    Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

    Hao Fesuit Fathers wanao ongelewa ndo hawa tunaowajua au kuna wengine? mleta mada kuchanganya chumvi na binzari unataka upate nini? au kuongeza post/
  12. R

    Edward Lowassa aungana na Gwajima kumtukana Kardinali Pengo

    hujakosea Mkuu, Pengo ni askofu wa Jimbo kuu DSM, Lakini pia ni kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, Yeye anaitwa Kardinali, anaongoza kanisa katoliki Tanzania Nzima na ndio mwenye maamuzi ya juu kwenye kanisa katoliki.
  13. R

    Wanawake na uchungu wakati wa kujifungua

    hatuogopi kwa kuwa kunakitu MUNGU ameweka kwa kila binaa kinaitwa kusahau
Back
Top Bottom