Recent content by Regnald Patrick Almasi

  1. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Hivi wasifu hutolewa siku ya mazishi au wakati wa tangazo la msiba!?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya watu au vitu?

    Maendeleo watu hujiletea wenyewe kupitia miuondo mbinu wezeshi na rafiki na wakishaendelea uchangia maendeleo ya Taifa Kama kulipa Kodi vizuri na stahiki zitakazotumika kujenge miradi mikubwa Kama inayoendelea lakini tukianza mwisho ndiyo turudi nyuma yaani kwa wananchi Basi tutakuwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Dalili za mvua ni mawingu. Itakuwa ni kijani tu Bungeni, Baraza la wawakilishi na Mabaraza ya miji

    Kama serikali haiweki mazingira Bora hata ukeshe unatafuta utaambulia 0.648. $ Kama kipato chako cha siku convent hiyo kwa Tsh. Uone ilo pato linaweza kugharamia mahitaji gani kwa mtu kwa siku!? Siyo kuongea mradi wewe unasaini perdiem huko Lumumba?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Dalili za mvua ni mawingu. Itakuwa ni kijani tu Bungeni, Baraza la wawakilishi na Mabaraza ya miji

    Hotuba siyo uhalisia aliyeandika ndiye aliyesoma Nani anathibitisha ikiwa wanalipwa au wamelipwa ilihari wanalia mitaani!?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dalili za mvua ni mawingu. Itakuwa ni kijani tu Bungeni, Baraza la wawakilishi na Mabaraza ya miji

    Unajuwa majukumu ya serikali kwa wananchi wake!?
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Dr. Bagonza kumbuka Rais ni taasisi. Je, ulitaka Magufuli asizungumzie Uchaguzi kisa ni Mgombea?

    Mbona tumeshuhudia ubaguzi mkubwa sana kipindi hiki Cha miaka 5 Tena yeye akijitapa kabisa kwamba hawasikilizi wabunge wa upinzani na wapiga filimbi wake watasema majukwaani kwamba hawatapeleka pesa za maendeleo kwenye majimbo ya upinzani ( kibajaj) inasemaje maendeleo hayana chama!?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

    Wanajikita kwenye madhaifu kufanyaje kusifu au kukosoa!?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

    Muwe mnapunguza viwango vya upumbafu maana ujinga uwa unatoweka, katika nchi inayoendeshwa kisheria inawezekanaje kukawa na vikundi vya kihuni Kama unavyodai na huku vyombo vya ulinzi na usalama vikiwepo waachiwe tu! Hili pori linaloitwa Tanzania tuko wote lichomeni tu Moto ukikolea na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

    Hii ndiyo akili ya mtu mweusi! Unachopanda ndiyo utakachovuna endeleeni kupalilia mbegu ya chuki! [emoji849]
  10. R

    JamiiForums Tanzania Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

    Mabeberu Wana rangi gani vileee!?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Na huyo aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa naye !!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijafikia utekaji bali kuna mahojiano kwaajili ya ufafanuzi wa mambo kadhaa

    Ben Saa 8 mpaka leo bado anahojiwaga tu eeh?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Siku za Hussein Bashe ndani ya CCM zinahesabika!

    Chama kitu gani wewe kwa hiyo watu waendelee kutaharuki na nchi iangamie kwa kushindwa kusimamia haki kwanza anakiokoa kama uelewi chama kikichukua hatua na kubadilika nani atakiweza chama kikongwe kama ccm acha unazi nyie ndiona dhamira mbaya kwani hata raisi anahitaji washauri siyo mamangi meza!
  14. R

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Nukuu tata za wabunge wa CCM bungeni leo

    Kisu ni kizuri kikatiwa nyama, nyanya, vitunguu na hoho lakini kikitumika kumchoma mtu mpaka akapoteza uhai ni tatizo hata jina ubadilika uitwa silaa , idara yetu kwa asili yake ni kusudi bora kabisa kuwepo ila matumizi ya siku hizi ndiyo yameleta sintofahamu embu wakubwa tumieni hekima kabla...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wanafanya kikao usiku huu ndani ya ofisi za Chama Dodoma

    Hivi kipindi kile walipozwaga milioni kumi kumi au ngapi vile?
Back
Top Bottom